Recent content by almamoh

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ukitaka mafanikio, acha kuahirisha mambo

    Somo zuri sana...barikiwa mkuu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Makusanyo ya TRA mwezi June ni Bilioni 500, kulikoni?!

    Asante Mungu....mambo mazuri yaja
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nani kampa rais Magufuli uwezo wa kufuta sherehe za muungano bila kushirikisha Zanzibar?

    Raisi amefanya jambo la maana sana,kuliko mamilioni ya pesa kupotea siku moja kwa kula na kunywa ni bora kufanyia kitu cha maendeleo kama barabara na mengine....Mh Rais yuko sahihi na mamlaka hayo anayo tumuunge mkono
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni St. Peters Obay na si St. Joseph posta?

    Kama kumbukumbu zangu ziko sawa Mkapa alikuwa anasali St. Imaculate Upanga wakati akiwa raisi
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Ahmed Albaity mwenye ugonjwa wa kupooza anaendeleaje?

    Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi,apate uponyaji arudi kwenye hali yake kwa Mungu hakuna linaloshindikana
  6. A

    JamiiForums Tanzania Sabuni za Kigoma zinapatikana

    Ni vema ungeweka namba ya simu na sehemu ambayo mtu akihitaji anaweza kukupata
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kozi ipi vyuo vya VETA ni rahisi kupata ajira Serikalini?

    Mimi nadhani ungemuuliza kijana angependa kujifunza nini katika kozi zinazotolewa veta.....swala la ajira nadhani litajulikana hapo atakapomaliza masomo usikute wala hatataka kuajiriwa ila kujiajiri
  8. A

    JamiiForums Tanzania RC Makonda kuleta wachina kuzoa taka na kutengeneza Madawati

    Ni vema mtu anapofanya jambo jema kumtia nguvu na sio kumkatisha tamaa....jiji ni chafu mpaka aibu na Makonda ameliona na analifanyia kazi inabidi tumpe ushirikiano sio kuponda kila kitu na kama kuna maboresho tuyatoe kwa nia kuweka jiji safi tumpe ushirikiano Mkuu wa Mkoa
  9. A

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi na Historia ya Jiji la Dar

    sijasoma gazeti lakini swala la kuwajua walopata kuwa mameya Dar wala halihitaji utafiti kihiivyo maana ukienda tu pale Karimjee utayakuta majina yote yamebandikwa
  10. A

    JamiiForums Tanzania Pongezi Kwa Mh.Majaliwa: Hekima,Busara,Maono Kwa Faida ya Taifa

    Ni kweli Majaliwa yuko makini na hata akiwa anaongea unapata matumaini na uso wa uaminifu.....Mungu awaongezee busara ya kuongoza hawa viongozi wetu
  11. A

    JamiiForums Tanzania Waziri ataka wapiga debe waondolewe Dar

    Ni bora wapiga debe waondolewe watu tupumue na wizi wao....na wengi wao ni waathirika wa madawa ya kulevya ni vizuri pia wakasaidiwa kupelekwa reharb......maana ni kero kubwa sana
Back
Top Bottom