Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 952
- 1,293
Wakuu habari!
Wadau naomba mwenye kujua anijuze na mimi kwanini rais mh jpm anapendelea sana kusali st Peters Oysterbay na sio st Joseph posta ambapo ukizingatia ni karibu na ikulu. Hata ukiangalia marais wastaafu Mkapa na hayati JKN pia walikua wanapendelea kusali hapo. Je kuna kitu chochote nyuma ya pazia labda kiusalama?