mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,169
- 1,073
Nimekuwa nikufuatilia kwa karibu sana utendaji unaohusisha ufuatiliaji makini unaofanywa na Mh. Waziri Mkuu wa awamu ya 5,Japo ni mapema mno kutoa tathmini timilifu Nina uthubutu kusema Mwenyezi Mungu amemjalia huyu ndugu hekima kubwa sana inayoambatana na usikivu,usimamiaji haki,utisho,Uthubutu,werevu chanya,ufahamu mtambuka na maono endelevu katika kumsaidia Mh. Rais JPM na Tanzania kwa ujumla.
Ninayo matumaini makubwa sote tukishirikiana vema {uwazi,ukweli,uzalendo} na serikali iliopo madarakani nchi yetu itapiga hatua kubwa kimaendeleo kwa faida ya vizazi vilivyopo na vijavyo.
Ninayo matumaini makubwa sote tukishirikiana vema {uwazi,ukweli,uzalendo} na serikali iliopo madarakani nchi yetu itapiga hatua kubwa kimaendeleo kwa faida ya vizazi vilivyopo na vijavyo.