damtanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 752
- 1,464
Habari zenu wadau,
Nimekaa hapa ghafla nimemkumbuka huyu mtanzania mwenzetu anayeteseka, nikajikuta naumia.
Please tupeane updates kuhusu hali yake maana Mara ya mwisho nimeona Masanja Mkandamizaji akipost kuhusu kumchangia kwenda nje kwa ajili ya matibabu.
Mungu amjaalie huyu kijana apone maana ameteseka vya kutosha.