Kozi ipi vyuo vya VETA ni rahisi kupata ajira Serikalini?

sirmz ndola

JF-Expert Member
Dec 13, 2013
273
32
Habari za majukumu wakuu nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka huu ana division point 28,kwa masomo ya arts je??naweza kumpeleka veta asome kozi gani ambayo anaweza pata ajira serikalini mapema msaada mwenye uzoefu plz
 
matokeo kimeo afu unataka kumchagulia kazi na pahala pakufnyia kazi!!!
anyway nenda VETA watakupa muongozo na fani zilizopo mi na jamaa zangu kibao walipita huko na wanafanya kazi katika makampuni binafsi na huwezi mfananisha hata na alie maliza degree ya chuo kikuu kimaisha na wengine wamejiajiri ni mafundi wazuri na wanapiga hela kinoma.
 
Njooo aje asome kozi za information technology..chuon kwetu QBSCL TRAINInG COLLEGE...chuo kilichosajiliwa na veta..ataweza soma certificate yake na hatimaye kupata ajila nzuri ya serikal na makampuni binafsi, class zinaanza 4April,2016. piga , 0222862725
0789812213,0714777211.


Kwa maelezo zaidi piga namba hapo juu.
 
Njooo aje asome kozi za information technology..chuon kwetu QBSCL TRAINInG COLLEGE...chuo kilichosajiliwa na veta..ataweza soma certificate yake na hatimaye kupata ajila nzuri ya serikal na makampuni binafsi, class zinaanza 4April,2016. piga , 0222862725
0789812213,0714777211.


Kwa maelezo zaidi piga namba hapo juu.
Hicho chuo hakina kozi zingine tofauti na IT???
 
VETA wanajiajiri wenyw maana ukitoka umeiva! Wanafunfisha vizuri ila kuna mtihan was CBET na NABE noma, ila akitoka ameiva! Akisomee plumbering
 
Mpeleke VETA akasomee metal fabrication baadae anaweza kujiajiri au kuajiriwa
 
Sasa ni kuweka malengo ya kujiajiri tu na kuajiri hutajuta ukikosa kuajiriwa
 
Mimi nadhani ungemuuliza kijana angependa kujifunza nini katika kozi zinazotolewa veta.....swala la ajira nadhani litajulikana hapo atakapomaliza masomo usikute wala hatataka kuajiriwa ila kujiajiri
 
Back
Top Bottom