Wewe unalo? Kama unalo basi sisi ambao hatuna private car tunarekebishana ili tuweze kutumia public service mwingine kupata kero kwa ajili ya mwingine unaongea huenda hata hiyo baiskeli hakuna, nakutakia siku njema
Halafu watu hao wanatakiwa waone aibu ni kero kwa abiria wengine, mara ooh d ereva simama nikajisaidie huoni kuwa umechanganya vyakula vingi vimetengeneza bomu tumboni
Wamepewa nafasi kubwa ya kutunyanyasa vilevile wanafanya kazi ya TRA kwa hivyo hata tukilalamika haisaidii kinachotakiwa na hii serikali ni pesa iingie serikalini haijalishi hata kama umeonelewa
Kwa vile sio rahisi kumshukuru mtu mmoja mmoja natoa shukrani kwa wana Jf wote nakuwatakia heri ya mwaka tunaouanza muda mfupi ujao uwe wa amani na mafanikio kwa wote na kama wapo niliowakwaza kwenye mijadala mbalimbali mimi ni binadamu naomba wanisamehe
waziri yuko sawa sababu amebobea Kwenye hiyo taaluma ndiyo maana Jk alimuita arudi hapa nchini afanyenaye Kazi hao wengine ni wababaishaji big up Waziri Muhongo
Hao Tanesco wameshatuchosha kwa Huduma mbovu na ubadilishaji wa bei kila mara sasa ifike mwisho wa haya mazingaombwe na serikali itafute njia mbadala ya kutupatia huduma sisi wananchi wa hali ya chini nikiwa na maana wamekosa ubunifu wa kuboresha huduma siku zote wakikwama wanakimbilia kuongeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.