Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Tanzania bhana.
Utakuta mtu (hasa wanawake) kabebelea hotpot kuubwa ndani ya basi, kila wakati anatafuna! Gari inaposimama tu, anafungua kioo na kununua ice cream, maembe, machungwa na matango na kuanza kutafuna. Mkifika hotelini, huyohuyo chupuchupu aachwe na basi. Huko hotelini sasa, piza, chai kwa sambusa ndo usiseme.
Basi likianza kuondoka hotelini, mikono yote imetapakaa vyakula, mafuta nk. Chini ya seat ana maji kubwa mbili.
Sikilizia vichanganye sasa huko tumboni, anaanza kucheua kama beberu. Kila wakati anaomba konda asimamishe gari aende msalani kuchimba dawa.
Kula kula kwenye gari n uchafu, ulafi, ulimbukeni na unakushushia heshima wewe mwanamke mtafunaji kama nguruwe.
Over