rushanju
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 3,327
- 5,594
Mi ninayo ile App ya kutambua wapi kuna camera. Cha ajabu unaweza kupita sehemu ukasikia simu inaashiria uwepo wa camera. Cha ajabu ukiangalia hakana alama yoyote ya kuonyesh speed limit (50). Huu umekuwa ni wizi wa trafiki kama ulivyo wizi mwingine kwenye vyombo vya usafiri kama road licence, stika ya nenda kwa usalama, zimamto nk