faru john junior
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,596
- 1,719
Nikiwa ndani ya daladala ilisikika sim ya jamaa mmoja ikiita huku akitumia wimbo wa taifa kama ringtone ikiwa sim inaita basi jamaa akapokea sim. Kabla hata hajamaliza kuongea mjadala ukaanza ,yakazuka makundi mawili moja linadai ni matumizi mabaya ya wimbo wa taifa na nikutokuheshmu alama za taifa wapo wengine walisema ni uzalendo mtu anaipnda nchi yke na aliendelea kujitetea kuwa mbona kuna baadhi ya shule hapa nchini wanafunzi wamevaa masweta yenye mchanganyko wa rangi za bndra ya taifa. Magreat thinkers nyie mnalipi la kusema ktk hili krbni sana