Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Salamu ndugu zangu.
Baada tu ya Mh Rais Dkt John Pombe Magufuli kuingia madarakani, aliweka mkazo sana kuhusu kuthibiti speed za magari hasa magari ya kubeba abiria (mabasi). Na jukumu hili linasimamiwa ipasavyo na Kamanda machachari sana wa Usalama barabarani, Mohammed Mpinga. Vibao vya speed 30, 50, 80 km/h vinazingatiwa sana na maaskari kote nchini wanasimamia sheria vzr kabisa.Hongera kwenu maana hata ajari zimepungua sana.
Inavyoonekana,madereva wengi hapa nchini hawana umahili wa kumiliki gari ikiwa kwenye speed zaidi ya 100km/hr. Wengi n wajanja kwa speed ndogo ndogo tu.Pia ikumbukwe, ukishakuwa kwenye speed zaidi ya 100km/hr, chochote kitakachokutokea barabarani ni vigumu sana kukicontrol.Huwezi kusimama ghafla, huwezi kukwepa kitu nk.
Mm nawapongeza hawa viongozi wetu kwa juhudi wanazoendelea kuzifanya mpaka sasa.Kwakweli ajari zimepungua sana. Japo n kweli tunachelewa kufika, potelea pote.Bora tufike salama.
Huko nyuma utakuta dereva wa Ngorika yupo speed 120 km/hr halafu anaongea na simu au anapiga stori na konda pale mbele wananong'onezana! Hili hapana.
Utakuta mtu anapanda Ngorika Moshi saa 12, eti lunch Dsm.
Tochi ziongezwe barabarani.