Traffic wamezidi

Bururu

JF-Expert Member
May 21, 2016
877
584
Jaman hii tabia ya Traffic anapiga picha gari na speed kwa kujificha anamtumia Traffic wa mbele yake Dereva ataamin vp iyo picha Imepigwa eneo la speed limit?
Kwanini wanajificha?kwani lengo langu traffic ni kusaidia kuzuia au kuondoa tatizo au nini?
Tusifumbie macho hii tabia.....
 
Mimi PIA imenikuta alhamisi mbeya pipeline
 
Jaman hii tabia ya Traffic anapiga picha gari na speed kwa kujificha anamtumia Traffic wa mbele yake Dereva ataamin vp iyo picha Imepigwa eneo la speed limit?
Kwanini wanajificha?kwani lengo langu traffic ni kusaidia kuzuia au kuondoa tatizo au nini?
Tusifumbie macho hii tabia.....
Mkuu hawa dawa yao ukiona kibao 30,50 nenda mwendo huo huo.
 
Ukidai kuletewa camera unaletewa na unaoneshwa picha yako
Hapo ndipo patamu kuna siku nililetewa nikamwambia twende eneo lenyewe kufika halifanani nikamwambia twende nikakuonyeshe eneo ulilonipigia tochi kufika ni kama mita 100 kabla ya kibao cha kuanzia speed 50.
 
Huo ni wizi kwa kuwa hatujitambui tunaendelea kuibiwa tuu Camera inatakiwa kibao cha Camera na Speed inayotakiwa hapo basi na speed inapozidi ukamatwe hapo hapo uandikiwe faini yako au kwa wenzetu unakutana na fine nyumbani maana gari zote zina address sasa Trafik wamekuwa wao police na mahakimu wenyewe kwa kuendelea kutumia simu zao hiyo sishangai Nchi yetu Masikini hata fikra na maamuzi ya kimasikini...
 
Wamepewa nafasi kubwa ya kutunyanyasa vilevile wanafanya kazi ya TRA kwa hivyo hata tukilalamika haisaidii kinachotakiwa na hii serikali ni pesa iingie serikalini haijalishi hata kama umeonelewa
 
siku ya ki kukuta na maybe una haraka ya MSIBA,mgonjwa,kazi nk ndo utajua uonevu wa hawa matraffic njian.
Leo kwetu kesho kwako

Kwanza, nadhani ni vyema kuheshimu sheria za barabarani, haijalishi u haraka ulio nao ili ufike salama uendako.

Pili, kwa upande mwingine ni vema hizo picha zikaonesha speed limit ya eneo.
 
Dah.... Jumamosi nilipita na 49kph kwenye 30kph matuta ya Mikumi National park ....kufika mbele ya Doma nikasimamishwa na kuelekea kosa Langu.. Japo sikumuona askari yoyote ila nilijua ni kweli niliover speed.... nikalipa fain na kuwapongeza askari kwa kazi nzuri....na nikawaachia maji ya kunywa
 
Back
Top Bottom