Recent content by ally ndunda

  1. ally ndunda

    Mto wa Magole wawatesa ma ENGNEER

    Mto huu Wa magole uliopo mkoa wa morogoro ni mto wenye historia ndefu ambayo huongoza kuhama hama sana. Mto huu umetokea katka vijiji mbalimbali vikiwemo mkundi na vingine. Mto huu wa Magole kwa sasa unaathiriwa na mchanga mwingi unatokana na maji madogo na mengi yanayotoka mitaani na vijito...
  2. ally ndunda

    Jifunze kiswahili sanifu

    Sumatra Kwa morogoro ina mabasi ya mwendo kasi kwa sasa punguzeni daladal za barabara hio.
  3. ally ndunda

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Tunduru Mimi nije ulipo Morogoro Dar Pwani Kibaha chalinze
  4. ally ndunda

    Ajira za walimu zimetoka

    Na mm niwashaur nendeni mkaanzishe ufugaji
  5. ally ndunda

    Special Thread: Wauza Nyumba, Viwanja na Mashamba.

    Nipe bei wastan wa kila kiwanja na ukubwa wake na mashamba
  6. ally ndunda

    Viwanja vinauzwa Dar es salaam

    Natafuta kiwanja mkulanga kimanz chana kwa laki 6
  7. ally ndunda

    Mbwembwe za Prof. Lipumba mahakamani

    Taksda kwa mwanaume hazina radha
  8. ally ndunda

    Nahitaji kiwanja Dar es salaam

    Kiwanja nahitaji nje ya Dar kwa tsh Laki tano tu. 500,000. Eneo nnalokusudia nipate ni maeneo ya Kibaha Chalinze mlandizi kimanzichana na kuendelea Kibindu. Tuwasiliane in box
  9. ally ndunda

    Fundisho kwa mnaopenda kuchati chati hovyo

    Mfiwa hana pa kulala popote analala. Mtoa post ametoa angalizo. Na mimi natoa yangu..................., Wanaochat wasifunge vioo mnatia joto kwenye daladala.
  10. ally ndunda

    Pendekezo: Faini makosa ya barabarani ziongezwe hadi kufikia 50,000/=

    Ongezeko la ajar barabarani halipunguzwi kwa kuweka faini ya fedha nyingi. Badala yake kuwepo na kifungo cha mwezi mmoja na ukitoka faini. Ili kuheshimu sheria na uendeshaji wa vyombo vya moto barabarani. Hio isiwe kwa kundi dogo la watu liwepo kwa yeyote atakaetenda kosa la usalama...
  11. ally ndunda

    Mh Rais alipokataa vibarua ktk maofisi ya umma.

    Katka hali ya kawaida iliozoeleka kumekua na migogoro ya marakwa mara ktk mashirika na taasisi mbalimbali nchini kati ya vibarua na wamiliki wao. Migogoro hio inatokana na kutokea kwa kutoelewa kati yao, Hali hio imekua ni tatizo kubwa katka nchi zetu zinazoendelea. Hivyo hali hio imekua...
  12. ally ndunda

    Furaha haina mwenyewe

    Katika maisha yoyote Duniani hapa lazima kuna kitu utakumbuka tu imma kiliikuuz au kukufurahisha. Maisha yana mlima na mtelemko.
  13. ally ndunda

    Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Hongera kwa kua uzazi lakin umekosa mtu mwerevu wa kuishi na ww. Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom