Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,096
- 61,512
Kuna jamaa walifanyaga tukio kama hilo wakiwa na pikipiki maeneo ya savei hapo darajani kabla hujafika Chuo kikuu cha Ardhi,wamekwapua kwa mama mmoja na kukimbia lkn hawakufika mbali baada ya kuitiwa mwizi.Jamaa walikimbia kupitia njia za uchochoroni,dereva aliamua kuacha usukani na kukimbia akimwacha yule aliyeiba akijaribu kukimbia bila mafanikio na kutiwa mikononi mwa wananchi wenye hasira kali na kumtia moto.
In fact haya matukio ya kuiba na kukimbia na pikipiki yamekuwa mengi sana maeneo ya Savei hasa nyakati za usiku.
In fact haya matukio ya kuiba na kukimbia na pikipiki yamekuwa mengi sana maeneo ya Savei hasa nyakati za usiku.