Hiyo ni kweli ,,mimi imenikuta kwa Baba yangu mzazi, ilikua asubuhi mnamo mwezi wa 5 mwaka 2007 ,,Tumeamka vizuri tu , familia yote ,tulivokua tunajiandaa kwenda shule mimi na ndugu zangu ,,Baba yetu ali kua akituangalia sana ,,mpaka tukawa na mashaka mzee ananini leo, , alichosema ,,muwe makini...