Kilichofutikwa ni uvundo

Kilichofutikwa ni uvundo

giphy.gif
 
View attachment 393968sikutaka tuwe na post leo..ilikuwa tupumzike..mishemishe za kilingeni jana zilikuwa si haba
Lakini hebu tujadili kidogo hili la maiti(sio marehemu)
Maiti ni mzoga pumzi ikishatoka imetoka kinachofuata ni mchakato wa kuanza kuoza/kuvunda, kuharibika na baadae kuwa mabaki ya mwili na vile utakavyozikwa navyo kama ukibahatika kuzikwa (si kila mmoja anajaaliwa mazishi)
Pamoja na mazishi ya gharama sana pamoja na majeneza ya thamani kubwa pamoja na kuzikwa na Vito na vitu vingine vya thamani..kilichofutikwa humo ni uvundo mtupu......
Ukishafukiwa kifuatacho ni uvundo tuu hadi nyama zote zitakapoliwa na funza na bakteria chini ya ardhiView attachment 393975
Upuuzi wa wengi ni pale marehemu kabla ya kifo chake Kuteseka na kuugua sana bila misaada ya ndugu na marafiki...ama la kwa wale wanaojiweza kufanya mazishi ya kufuru kwenye mwili unaooza
Dhima ya kufanya yote haya ninini?
Sifa?
Upendo?
Kujali?
Kumbukumbu?
Kuiga?
Kila mmoja wetu anaweza kuwa na jibu lake lakini vyovyote iwavyo tukubali tukatae kufuru kwenye mzoga wakati kuna watu bado wana uhitaji ni laana
Lakini kuna mengine yamefichika hili usiyaone.
 
Naona umejazilizia kabisa na kuongeza nyama nyama, dhana nzima ya uzi huu sasa imekamilika.
 
Ukiwa unaugua ukimuomba ndugu yako laki 2 tu nadhani hata kukuona anaweza asije tena ila anapokufa mgonjwa,,upendo wa kinafiki anaoneshwa Hali ya kua hawezi tena ata kusema asante
 
Ukiwa unaugua ukimuomba ndugu yako laki 2 tu nadhani hata kukuona anaweza asije tena ila anapokufa mgonjwa,,upendo wa kinafiki anaoneshwa Hali ya kua hawezi tena ata kusema asante
Anakuja pia na jeneza la 1.M
 
Ukiwa unaugua ukimuomba ndugu yako laki 2 tu nadhani hata kukuona anaweza asije tena ila anapokufa mgonjwa,,upendo wa kinafiki anaoneshwa Hali ya kua hawezi tena ata kusema asante
 
Back
Top Bottom