Bwana Heri jiandae mapema, unatafutiwa uchochoro wa kutokea

Mugambo wanaruka na kukanyagana!!!!!! Tatizo ni la kutokuaminiani likianza ndani ya nyumba, ni vigumu sana nyumba hiyo kudumu. Nikuweke tu wazi ndugu yangu mtoa mada, Bwana Heri hakuwa kipenzi cha mwenye mji ila ilimpasa kuneutralize mambo ndio maana akamchukua wapige wote kazi. Kama inavyokuwa ktk nyakati za kukabidhiana vijiti pale Central, Kila mtu huja na pendekezo lake la mfukoni, ndivyo ilivyokuwa kwa bwana Heri. Wenyeji wa kijiji walisisitizi mwenye mji aende na bwana heri japo hakuwa amemjua vyema hapo nyuma. Mwenye mji mstaafu alimkabidhisha heri kwa huyu wa sasa akisisitiza kuwa ni chuma cha mjerumani. Kutokana na uzoefu na unyeti wa nafasi ilibidi kuheshimu hekima za wazee.
 
Membe ndio Tumaini letu jipya
,
tapatalk_1540785265907.jpeg
 
Lakini Walimu waliomfundisha Mangi weledi wote huo wa kufikisha ujumbe kwa shangaziwe wa kipigo hawatapewa ajira
Hawana mchango wowote eti halafu eti ni wengi
 
Huo ni uzushi hakuna wa kumtoa majaliwa maana yeye na magufuli wanapiga kazi, kazi anayofanya majaliwa hakuna mtu ambaye kaifikia kiurahisi, namaanisha ukimlinganisha na mawaziri wakuu kama.Lowassa na warioba au sumaye


Ni mwepesi kishenzi ndio maana anachomekewa lugha zisizo na staha mara kwa mara. Jamaa anamuona boya tu.
 
Back
Top Bottom