Recent content by Alkene

  1. A

    JamiiForums Tanzania Why is it sex first marriage next?

    Mimi binafsi sex sio necessary sana
  2. A

    JamiiForums Tanzania Why is it sex first marriage next?

    inadepend lakini, misimamo mingne tunaielewa
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ana mchumba wake lakini anataka nimpe mimba

    achana nae
  4. A

    JamiiForums Tanzania Why is it sex first marriage next?

    wanaume tunaamin kwamba hitimisho ya kukubaliwa na mwanamke ni kufanya sex, kwaio bila sex tunahisi bado mwanamke hajawa wa kwangu hadi nikisex nae ndo naamini…….hii ipo tu automatic kutokana na masumbufu mnayotupa hadi kuwapata na haiwezi kubadilika.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nimeugua homa kali na mafua juu, mdomoni pachungu. Nifanyeje?

    Jitahidi ule matunda ya kutosha, uchungu utaisha tu wala sio tatizo sana
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane: Uzalendo na Ucha Mungu wa Rais Magufuli ni upi?

    achana na hiyo hotuba, fanya kazi huku ukijilinda na kuwalinda wengine dhidi ya corona
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu kaninunia baada ya kumwambia anakosea

    Ishi bila yeye, upendo kwake umeisha usimlazimishe. hata kama unampenda lakin yeye hakupend tena.....kuwa mwamba asikuyumbishe bhn
  8. A

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

    Changamoto inahusu maabara, lakini katika hiyo kamati wataalam wenyewe wa maabara wapo wawili tu, tena wastaafu. Hii imekaaje?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ameanza kunichukulia poa

    Jonah Hex, ukisubiri wa ivo hutampata, inatakiwa umtengeneze ww mwenyewe
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ameanza kunichukulia poa

    basi hujampenda kivile
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ameanza kunichukulia poa

    huu uzi ni noma
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ameanza kunichukulia poa

    ongeza shobo zaidi, atabalance tu na yeye.....ukimpotezea utampoteza kabisa
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    lakini sahizi watu tunalala kwenye foleni, sasa sijui majukumu yamepungua,? au ndo tunaona oh, kumbe hii inshu ni serious e
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Kivumishi Kielezi, laini zitazimwa na maisha yataendelea kama kawaida, haitakuwa mwisho wa maisha. naamini tutachangamka tu na tutasajili tu. awana zinaenda Nida lakini wengi tusio na namba za NIDA tulipuuzia kufuatilia kwasabu ya ule mlolongo wake. kwaio sahiz ndo tupo hati hati tunataka...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Internship Tanzania baada ya kusoma nje

    mh!! kwaio environmental Health science ni kozi ya nn?
Back
Top Bottom