Ana mchumba wake lakini anataka nimpe mimba

Hapa umemaliza kila ktu. Mjadala ufungwe tu.

Yani hakuna mwanamke anaekubal kuzaa na mwanaume ambae hana pesa akaacha kuzaa na mwanaume mwenye pesa KAMA MUME MTARAJIWA ANA PESA KWANN ASIENDE KUZAA HUKO ILI WATOTO WAWE WARITHI HALALI WA BABA wanaume mnatakiwa mufkirie mara mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka mkubwa pole kwa mtihani ila jambo la muhimu kufanya ni hivi
Achana kabisa Na huyo mwanamke atakuja kukuletea shida kubwa siku za usoni
Utakuja kujialaumu kama utafatisha mawazo yake mgando aliyoweka kichwani kwake
Pia kumbuka hakuna siri ambayo utaficha au mtaficha kati yenu mana mungu anawaona Na atawahukumu hapa hapa duniani kama mtafanya huo ushenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nikweli hawa watu saa nyingine hawana huruma lkn nibora mpotezee tu kwa heshima ya mwanaume mwenzetu pia huwezi jua unaweza sababisha matatizo kwa kizazi chako mfano watoto wako wakaja kuowana wenyewe kwa wenyeae vile hawatakuwa wanajuana lifikirie hilo pia
 
Ndio maana mimi manzi akiniambia ana mimba yangu huwa namwambia "kama ni yangu unakaa nayo ya nini nipe acha wizi"

Dogo huwa anawaambia "mimi sina uwezo wakumpa mwanamke mimba na cheti cha hospital kuthibitisha hilo ninacho".

Sababu ni ujinga kama huu.
 
Mtu ambaye humpendi hawezi kukuweka kwenye position ya kushindwa kuamua jambo jepesi kama hilo Unless umri wako uwe below 25, kinyume na hapo ni ubongo tu ndo hautaki ila moyo wako somehow umempa nafasi.

Kuna kitu mwanaume anaogopa kama mimba ya mwanamke ambaye hajamuelewa? Kusingekuwa na single mothers.
 
Kama sperm zako huzithamini basi we mwagamwaga tu mbegu pasi na faida yoyote Ila mbegu kama hzi zangu za kishombeshombe sigawi bure namna hyo kudadadeq (Yaan nithubutu kupoteza damu yangu namna hyo...mmmmh hapana, bora mbegu ipotee kwa nyeto)
 
Haya tufanye tayari ushamtia mimba, tuambie ni faida gani utapata? God kept brain in your skull for a purpose and did not put feaces in there!
 
Epuka kabisa hiyo kitu utakuja kuijutia mbelen kumbuka usimfanyie mwenzio kitu ambacho hupendi kufanyiwa maana unaweza kuja kufanyiwa kitu kibaya zaid kwenye ndoa yako hutaamin

Hii dunia ni nomaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NINAENDELEA KUOMBA KWA NCHI YETU ISIJE KURAHISISHA UPATIKANAJI WA VIPIMO VYA DNA KWANI IDADI YA WATOTO WA MITAANI ITAONGEZEKA KULIKO IDADI YA WAATHIRIKA WA COVID19 MJINI WUHAN.

WASIJE WAKATHUBUTU KURAHISISHA VIPIMO HIVYO (msisitizo)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu / Shikamooni / Assalaam alaykum / Bwana asifiwe

Poleni na changamoto za kupambana na CORONA, lakini maisha yanatakiwa yaendelee kwa jitihada tofauti na nawausia msisahau kuchukua tahadhari ikiwemo KUPIGA NYUNGU walau kutwa mara tatu.

AMA BAADA YA SALAMU:-

Najua kwa haraka haraka unaweza ukasema kuwa mimi ni boya kwa sababu ya kuleta mada hii. lakini ifahamike kuwa suala hili limenibidi kutafakari mara mbili na hatimaye kuomba ushauri kabla ya maamuzi.

Huyu bint sikuwa najua kama ana mchumba na alinambia kuwa hana mtu, mzee baba nikawa najipigia mambo. Lakini tangu mwaka huu umeingia kuna jambo moja nilimfanyia kumbe kwake lilikuwa la thamani sana. (Sikuwa najua hili)

Leo akanitafuta na akaomba nikiwa na utulivu tuongee kwa kina. Basi nikalazimisha kupata utulivu ili kujua nini kinamsibu. Kiukweli nikwamba alinambia kuwa ana mchumba na anataka kufunga naye ndoa. Na aliomba msamaha kwa kutonijulisha lakini kwakuwa sikumuweka sana moyoni sikuwaza.

Lakini aliomba nimtie mimba na iwe kama kumbu kumbu kwake, alisema kuwa tukutane siku chache kabla ya harusi yake na akishajihakikishia kuwa ana mimba yangu ndio afunge ndoa na huyo bwana. Mshkaji inasemekana kuwa pesa ipo....

Suala hili sikumjibu moja kwa moja kwanza sijui ni kutokana na ufinyu wa akili yangu lakini nikaona ni bora nije kwa ma GREAT THINKER angalau naweza kupata mwangaza walau kidogo.

Maana kila nikiaa nawaza haya.

1. Kwanini alinificha na hakusema kuwa ana mchummba?
2. Kama ananipenda kwanini asiseme nimuoe mimi?
3. Nikimfikiria mwwanaume mwenzangu naona sitomtendea haki katika ndoa yake pale atakapomshkuru Mungu kwa kupata mtoto.

Swali kwenu wakubwa ni upi uamuzi wa busara hapa?
achana nae
 
tuambie ulimfanyia jambo gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom