Mdaiwa-Sugu
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 284
- 910
- Thread starter
- #21
Nalipata sema nilitaka unipe formula jinsi ya kulitumia kama nachemsha au natafuna kavu kavulinaonekana hivyo kaka nilibahatika kuletewa nikalitumia japo sikuwa na huo ugonjwa japo inasaidia sana hasa upande wa mafuaView attachment 1443906
Sent using Jamii Forums mobile app