Muuliza swali haelewi, nyerere wanawe ni wagonjwa na mkapa mimi si mjui mwanae wa kuzaa, watoto wa mama Anna Mkapa hawamhusu, Tz imeongozwa na watu jamani. Kikwete tuu ndio kuna usomi na utulivu.
Watamuua kijana huyu. Pooole Jerry. Lakini nyie waandishi wa Tanzania hamfai kwasababu hakuna mwandishi pale bongo asiye pokea rushwa. Kwa taarifa zenu kila stiry inayo andikwa gazetini,redioni and Televisheni zote kwanza lazima mwndishi ankuuliza kama unaweza kumuwezesha,maneno...
Pole Abuu Rashaad. Maisha ndivyo yalivyo,nainategemea ulimpendea nini, na je yeye likupenda? huenda ikawa mambo fulani huyawezi sana ama wewe unampeleka puta akaamua apige ndefu. Pole kaka. Bila shaka wajua kiswahili pia japo umeandika kwa kiingereza. Pole tena, kanyaga mwendo usirudi nyuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.