Happy valentine JF!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Happy valentine JF!!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Pdidy, Feb 6, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  Dear all,

  I would like to take this opportunity to wish you and your loved ones happyvalentine. Also I wish you good health, happiness and good luck .

  May God bless you and your loved ones.
  much luv

  Pdidy
   
 2. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Happy early valentine to you too!...
   
 3. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Same to you!
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  Happy early valentine to you too!...


  sound sweety
   
 5. Mndundu

  Mndundu JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hivi we Pdidy ni Pdidy wa wapi? Lugha yako inafanana na Pdidy wa madizini.....
   
 6. b

  babertov Member

  #6
  Feb 7, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  katika mkutano wa wadau wa siasa, biashara,technology ulifanyikaTED BILIONEA BILL GATES(MICROSOFT) Aliingia ukumbini humu na bakulli lilijaa mbu na kuwaachia ukumbuni humu kama ishara ya kupambana na malaria duniani hasa nchi zinazoendelea.

  Ila mbu wenyewe walikuwa hawana vinasaba vinavyosababisha malaria.

  aliwashauri matajiri duniani kuacha kutumia fedha nyingi kutafuta dawa ya kuondoa upara baadala yake nguvu nyingi ilielekezwa kuutokomeza ugonjwa huu hatari wa malaria.

  Tayari wanayansi duniani wamegundua vinasaba vinavyosababisha wadudu wa malaria wawe sugu kwa baadhi ta dawa za malaria.

  thanx
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  U2all
   
 8. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  JF Members!
  Valentine is near, spread love and cheer
  My love is hear, thats why I love u dears!
   
 9. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Jamani haya mambo ya Kuiga..je lazima tuige kila kitu!

  Mara Valentine! Mara Thanks Giving!

  sasa sisi Waafrika nini cha kujivunia? Tunajivunia kuiga?
   
 10. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Vya kujivunia ni vingi sana Afrika, Maliasili ni kimojawapo na rushwa ila kwa upande mbaya wa kurudisha maendeleo nyuma.
  Naamini hata hizi blog tumeiga kwa wadhungu. Sisi wengine familia zetu zimechanganyika na matabaka mbalimbali kwahiyo ni kawaida kujua aah leo ni birthday, valentine, anniversary, thanx giving na boxing day. Ni part of life.
  Enjoy ur sat!
   
 11. a

  alirashidou Member

  #11
  Feb 7, 2009
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana Pdiddy kwa salam zako.
   
 12. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2009
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Happy valentine too! lets use the season positvely to strenghten our love! Just for one day......show him/her/they that u truely love n most of u care! happy valentene!!!!!!!
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  How about karamagi???

  Mh:karamagi adaiwa kudandia wake za vigogo

  --------------------------------------------------------------------------------

  Avunja ndoa ya mkuu wa wilaya kwa kufanya mapenzi na mkewe
  Anafanya urafiki na mwenye mke kisha anamgeuzia kibao
  Source: Taifa Letu

  Mbunge wa ukoba vijijini ccm MH NAZIR KARAMAGI anatuhumiwa kudandia wake za watu baada ya kukimbiwa na mkewe mrusi imedhihirika wazi kwa kuvunja ndoa ya mkuu wa wilaya moja ya mkoani kigoma,habari zilizotufikia zimeeleza kwa muda mrefu mh karamagi amekuwa na tabia ya kudandia wake za watu hasa kwa kutumia pesa aliokuwa nayo na hasa kwa kutumia chambo cha ajira katika kampuni zake mbalimbali ikiwamo ile ya kuondoa makontena TICTS.

  Kwa mujibu wa habari hizo mh Karamagi anaelezwa ni mmoja wa vigogo wanaodaiwa kuwa vicheche na walafi ambao wamekuwa wakidandia wake za watu baadhi wakiwa ni wale anaowasaidia ama kuwa karibu na waume zao.

  Mfano hali ni tukio la karibuni ambalo karamagi anahusishwa nalo ni lile la kuharibu ndoa ya mkuu wa wilaya kijana kwa kumrubuni mke wa kijana huyo kwa kumpa kazi TICTS

  ::"""HUYO MZEE(KARAMAGI) NI MLAFI MKUBWA WA WAKE ZA WATU alimpenda huyo binti so what he did akaamua kumpa kazi TICTS then akampa custody tour abroad,nyumba fulfurnished iliandaliwa ili afikie apo anaeleza mdogo wa mke wa dada huyo..inaelezwa mipando ilisukwa wakati mke huyo wqa mkuu wa wilaya anatoka safari lakini bahati mbaya zilivuja kwa mumewe kuhusu tarehe ya kurudina yeye kuamini mkewe alitaka kumshtukiza suprise,

  Mashuhuda wanasema kwamba siku ya kuwasili mwanamke huyo karamagi alikuwepouwanja wa ndege sambamba na mumewe na kumlazimu mke huyo wa mkuu wa wilaya kubabaika na hivyo kulazimisha kwenda kwa mumewe alipokaa.

  Hata hivyo hbari zikaeleza kwambafamilia ya kigogo mwingine ilitumika kumtoa mke huyo alikopelekwa na mumewe kwa kisingizio cha kuwa na mahusiano ya kindugu na badaye mwanamke huyo alichukuliwa na Karamagi.

  Kwa mujibu wa mfanyakazi mmoja wa TICTS karamagi alifanikisha safari za uingereza kwa kisingizio cha kwenda kusoma lakini wakiwa wanakutana kwa mambo yao binafsi kwa nyakati tofauti.

  Habari zaidi zinasema Mh. Karamagi anaendelea kula vya ofisini kwake baada ya kuamua kumrukia mwanamke mmoja wa kizungu anaefanya kazi kwenye kampuni yake ya kukopesha pale mbele ya BRITISH council.

  swali je karamagi anaendelea na huyo kicheche???

  je mumewe ameshaoa??

  je alikuwemo katika list ya wabunge kupima ngoma??

  je kwa style hii ya CCM wabunge na wakuu wa wilaya wangapi watakufa na

  """"""""""UKIMWI"""""""""""""""""

  JE NI WABUNGE WANGAPI WANASAMBAZA UKIMWI KWA DIZAINI YA KARAMAGI

  KUNA UMUHIMU WA KUENDELEA KUPIGA KELELE YA UKIMWI BUNGENI WAKATI WAHUSIKA WANADIRIKI KULA WAKE ZA VIONGOZI WENZAO?????
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  tunataji kuwa na valentine day special kwa wanaokula wake za watu
   
 15. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #15
  Feb 9, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mama mia niliwahi kukuuliza kama umeolewa au la na una experiance gani katika ndoa
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  tunaitaji kuwa na valentine day special kwa wanaokula wake za watu
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  Mama mia niliwahi kukuuliza kama umeolewa au la na una experiance gani katika ndoa

  shy nimeolewa nikakaa mwaka mmoja nikakimbia nyumba maisha ya mume wangu mnayajua wanaume......ujumla yalinishinda hivi sasa niko na mchumba wangu tunatarajia ndoa punde na wewe shy??
   
 18. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #18
  Feb 9, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Aha kumbe you wont be lonely tonight ukishapata huyo love of ur life ? Mimi bado nipo nipo ----- nilifikiri naweza kukualika katika blue light wakati wa valentine sehemu
   
 19. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #19
  Feb 9, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  we pdiddy sweets wa kinondoni hajambo ??
   
Loading...