Recent content by alimunyu semdeka

  1. A

    JamiiForums Tanzania David Kafulila ajiunga rasmi na CCM huko Mbweni jijini Dar

    Bravo CCM!! wataendelea kuisoma namba tu, na baado!! Kafulila wakati akiwa upinzani alikua ni mkereketwa wa maonevu na dhulma, na ukereketwa wake aliwahi hadi kuitwa Tumbili, JPM aliliona hilo na ndio maana alipopita mitaa ile alimfuta machozi na kumwambia wewe sio Tumbili, Tumbili ni wao...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Lissu bado anahitaji msaada wenu Watanzania

    Wahenga bwana wanaona mbaaaaali, kweli Mbio za Sakafuni huishia Ukingoni. Majigambo, Utalii wa Kumtembelea hosp Kenya n.k vyoooote kwish nehi. Nakumbuka Ndugai alituambia Bunge lipo tayari kumtibu kwa mujibu wa kanuni za Mikataba ya Tiba kwa wabunge lakini Mr Billicanas na wengineo walikataa na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Dawa za meno ambazo ni nzuri kwa ulinzi wa meno

    Sensodyne yenye rangi ya pink ni nmwaaa! yaani the best
  4. A

    JamiiForums Tanzania Aliyemrekodi mtoto Dorcas na wimbo wa chura asakwe

    Huku kukosa smartphone ni shiiiiiida!!! ninahamu ningeona ilivyo HIYO SCRIPT ili nami nitoe comments zangu lakini duu! jamaa walipora simu yangu IMEI 354459061797080 lakini ndio ivyo tena, aah! Kwa vile suala la maadili naunga mkono pendekezo la wengi ili maadili yaheshimike
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwenye nafasi za Ajira zilizotolewa na Wizara ya Afya; Kutotolewa wa majina ya Nutritionist nini tatizo?

    Jamani mficha uchi hazaii, pia mficha maradhi mauti yatamuumbua, wahenga walisema tangu kale. Misemo yote hii naisema kwa lengo moja tu nimemaliza chuo nina Digirii ya Utawala Serikali za Mitaa - BLGM, najua wana jf ni wamoja naomba endapo mtasikia nafasi tujuzane. Nawapenda wakufunzi wa Hombolo.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kauli mbiu ya "KAA" Clouds Tv anasemwa nani?

    Jamani tupo hatuja uelewa msamiati huo, fungukeniiiiiiiiiiiiiiiii. Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi, najua nimewazidi kwa mengi lakini hili tujuzeni bhanduguu.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Humphrey Makundi aliyeripotiwa kupotea, apatikana akiwa amefariki na kuzikwa

    Nilimuona Baba wa Marehemu alivyokua akiongea ITV, inauma sana aisei, uchunguzi wa kina ufanyike na kama yanayoelezwa ni kweli kuhusu waalimu kwamba wanachapa fimbo kupitiliza, hebu MWENYEKITI wa Bodi ya shule nae ahojiwe anafuatiliaje taarifa za shule hii? achili mbali wazazi kw ujumla wao. R.I.P
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kijana usitegemee hawa watu watakubadilisha

    mambo ya ukweli mtupu, hii ni duble dublee
Back
Top Bottom