ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,364
- 4,129
Mbona hapo kwenye maelezo yako sijaona sehemu inayoeleza kuwa watu wameacha kumchangia?
We wadhani mpaka mwezi uliopita kuamua kuandika barua kuomba bunge lichukue jukumu kumetokana na nini!Mbona hapo kwenye maelezo yako sijaona sehemu inayoeleza kuwa watu wameacha kumchangia?
Mlitaka kufanyike nini?! Anayekuwinda anapolazimisha umnyenyekee kisa anamiliki kodi !! Bora kuta masikini hata kilema lakini uwe huru ktk nafsi.Hiii kitu ilikosewa sana mwanzo pale.[emoji41]
Kumtetea mtanzania kazi kwelikweliMatibabu yake siyo madogo mkuu hata kama ana akiba inaweza isitoshe.
Bunge ndiyo hivyo liko kimya.
Nimeuliza watanzania maana walidai wako tayari kugharamia matibabu ila naona kama kawaida uwa inakuwa nguvu ya soda
Mkuu zaidi ya miezi miwili mkuu familia na Bunge walikaa wakakubaliana hapa Serikali inafanya maigizoWe wadhani mpaka mwezi uliopita kuamua kuandika barua kuomba bunge lichukue jukumu kumetokana na nini!
Huoni hata uhamisishaji wa kuchangia umepungua mkuu
Unajibu vitu serious kipuuzi utafikiri mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa kisha kakulia kwa kikongwe kisichoweza kumfundisha adabu. Si kila kitu unaweza kuchangia mengine unaweza kutulia tu au uwe msomaji. Umenikera sana asubuhi hii, tofautisha kati ya binadamu na mnyama, siasa zisitifanye wapuuzi hivyo.Watanzania!!!!
ina maana yeye alikua hana akiba hata kidogo?? mkewe?? ndugu zake?? marafiki??
Guys tuweni serious kidogo.
Na Bunge nalo kwann halimsaidii sasa labda tumuulize Mange atasemaje.
Lol....Unajibu vitu serious kipuuzi utafikiri mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa kisha kakulia kwa kikongwe kisichoweza kumfundisha adabu. Si kila kitu unaweza kuchangia mengine unaweza kutulia tu au uwe msomaji. Umenikera sana asubuhi hii, tofautisha kati ya binadamu na mnyama, siasa zisitifanye wapuuzi hivyo.
Inakera na inaleta maswali mengi sana!! Mtu huyu kashambuliwa dk.30 baada ya kutoka kuchangia hoja bungeni ! Bunge lipo , hata kwa unafki tu, kwa nini wasitimize wajibu wao?! Mungu ni wa wote ndio maana walioshabikia jambo hili wengine wako mbele za haki na Lissu bado yu haiMkuu zaidi ya miezi miwili mkuu familia na Bunge walikaa wakakubaliana hapa Serikali inafanya maigizo
Ukweli serikali haimtaki tena mh Lissu hapa Tanzania
Wameshasahau !!!!hawa watu mimi huwa siwaelewi kabisa.Ujue kuna wakati ukichamba sana mwisho unajipakaza
Kama nakumbuka vuzuri serikali ilikuwa ipo tayali na mpaka sasa walishasema kupitia kwa waziri ummy mwalimu kwamba serikali ipo tayali kumsaidia huyu mgonjwa matibabu yake
Bunge lilishasema wapo tayali na wana makubaliano yao na India kwa ajili ya matibabu ya wagonjwa wenu hapa nchini
Tatizo ni utayali wa familia yake na chama chake
Wamekuwa ni watu wa kujilesi kwa matamko ya ajabu ajabu tu ikiwa ni pamoja na kuchagua mahospitali wanayotaka wao
Bunge liliposema familia ya Lissu ikakutane nayo ili Bunge lichukue jukumu la kumuhudumia chadema na familia walijibu kwa nyodo sana kwamba hawataki.. Sasa kibao kimegeukaWatanzania!!!!
ina maana yeye alikua hana akiba hata kidogo?? mkewe?? ndugu zake?? marafiki??
Guys tuweni serious kidogo.
Na Bunge nalo kwann halimsaidii sasa labda tumuulize Mange atasemaje.
Heeeh kumbe walileta nyodo!!Bunge liliposema familia ya Lissu ikakutane nayo ili Bunge lichukue jukumu la kumuhudumia chadema na familia walijibu kwa nyodo sana kwamba hawataki.. Sasa kibao kimegeuka
Kama ule wa kumwandikia barua waziri mkuu wa canada kuhusu bombadia nako ni wa hiari?Msaada wowote ni Hiari hakuna msaada wa Lazima ndio maana ukaitwa MSAADA.
hivi chadema si inampango wa kuanzisha bima.Nimesikia kwenye taarifa ya habari ya asubuhi toka UFM akihojiwa kaka yake Lissu na kudai kuwa, familia iliandika barua kwenda ofisi za Bunge kuomba Bunge kuchukua jukumu la matibabu ya Tundu Lissu.
Lakini toka watume hiyo barua hakuna jibu walilopewa mpaka sasa.
Pia akadai ya kwamba Lissu kwasasa anaongea na ndiye shahidi namba 1 hivyo kama wameshindwa muhoji dereva basi wakamuhoji Tundu Lissu.
Anadai mpaka sasa wao kama familia hawajapewa taarifa yoyote juu ya upepelezi wa kesi ya kushambuliwa Lissu.
Watanzania, mmeacha kuchangia matibabu yake? Maana Watanzania wengi walidai hata serikali isipotoa ela wao watachanga sasa kwanini mmeacha Lissu badi hajapona anahitaji pesa ya kwenda kwenye matibabu hasa ya mazoezi ya viungo.
Dr Shika asiwafanye msahau kuwa kuna Lissu jamani