Recent content by Alimana

  1. Alimana

    Law of the Garbage Truck

    It's a good story.Thanks.!
  2. Alimana

    Naogopa kuongea na wanawake hata kuwatongoza sababu sina pesa

    KAMWE HUTO WEZA SUALA HILO UKIWA HUNA PESA,MKAPA PALE UTAKAPO BADILI MTAZAMO WAKO. MWANAMKE HAITAJI PESA TU, MWANAMKE ANAHITAJI VITU KAMA: -FARAJA -CONFORMITY/ATTACHMENT - BIOLOGICAL NEED - KUPENDWA IKIWA NI SILIKI YA KILA BINADAMU.
  3. Alimana

    Muwe makini na vipimo vya UKIMWI, ni hatari sana!

    Tunaishi na UKIMWI, UKIMWI unaishi na sisi, Nivigumu kututenga na UKIMWI, UKIMWI kututenga na sisi.Tunatengwa na UKIMWI kwa kudra za MOLA.AMENI!
  4. Alimana

    Hii inawahusu wote

    Kulinganisha ni jambo jema, kwani ni moja ya njia ya kufanya tathimini ya jambo ili kulifanikisha kwa kiwango cha juu iliulitofautishe na lile la awali. Vibaya tathimini hiyo kumwambia muhusika.Ila kama unafanya kimya kimya kwa lengo la kuboresha PEZI sio mbaya.
  5. Alimana

    Nimemuacha sababu ya 'kufulia'

    Umemuacha au umeachwa kwa ukosefu wa pesa? Maana si nia yako kumuacha Bali umekubali matokeo ya kuachwa kwa ukata.Pole ndio Dunia ilivyo Kama hunapesa utaendelea kuwa mtumwa wa kuishia kutazama tu wanawake wazuri. Tupo kwenye ulimwengu wa Nipe nikupe( The world of social exchange).
  6. Alimana

    Usije Ukasema Sikukwambia

    Sio kwa wanawake wetu hawa wa kibongo.Ila mawazo yako mazuri hasa kwa wale wachache sana waliobahatika kukutanishwa na wale wanawake wachache sana katika ile asilimia ya wenye heri, wanastahiri kuwekeza katika biashara hiyo ya Upendo wa agape.
  7. Alimana

    Rais Magufuli wapatie wanafunzi walimu

    Tatizo LA Elimu Tanzania ,serikali inaamini imelitatua kwa madawati, eti hayo masuala mengine ni changamoto ndogondogo tu.Wako busy kuvunja UKUT 1st October
  8. Alimana

    Samehe yaliyopita

    Kwa comments za mada hii, inahashiria watu wengi ni wahanga katika suala la Mapenzi. Maana mada hii imebeba maneno ya faraja kwa wenye makovu, pamoja nawale ambao bado wana majeraha kwenye mioyo yao hasa yaliyotoka na kupenda mahali pasipo sahihi. Binafsi nimefarijika hasa baada ya kuona...
  9. Alimana

    Leo ugegede na kuondoka hakuna kulala

    Yaani we jamaa umenifanya nicheke sana. Unavyo lalamika kwa mke wa mwenzio, utadhani mkeo. Inatosha kupewa k, sio mpaka ulale sio kwako pale.
  10. Alimana

    Ukimpa mwanamke mimba ni lazima umuoe?

    Hahahahahaha..! Mwambie wanaogopa kuoa mwanamke aliyezalishwa(single mother).
  11. Alimana

    Kimemkuta kipi zari boss lady?

    Haya mambo Mimi ni mshamba kidogo. Naomba kuuliza, " je nimkono upi unatumika kushika kikatio cha KEKI?, na upi unatumika kushika kifaa cha kulia KEKI? Maaana hapo huwa nipo Njia panda.
  12. Alimana

    Inauma sana, ila sina jinsi

    Kwanza pole sana.! lakini kunakosa kubwa umelifanya kuingilia Ndoa ya mama yako,kwa kumpiga marufuku baba yako(Mme wa mama yako) asifike nyumbani kwa Mke wake. Yaani hapo nisawa nakumwambia huyo MZEE achane na mama yako. Hicho ndio kimemfanya mama yako kuchukia kiasi kwamba kukaa kimya...
  13. Alimana

    Naomba ushauri wa namna ya kumkwepa huyu binti

    Ikiwa bado huja muweka Ndani unamuona sio wa hadhi yako(Humpendi), sasa je utaweza kumpenda kweli Ndani ya Ndoa ambapo sura na figure hubaki suala la kawaida tu kwa wanandoa.? Niheri umwambie ukweli, japo ataumia sana kwa mda mfupi kisha atasahau, kuliko kuja kuishi maisha Marefu ya Ndoa na...
  14. Alimana

    Hataki kuonana na mimi...

    Wako anataka nini funguka upate Tiba ?
Back
Top Bottom