Samehe yaliyopita

Samehe yaliyopita

Asanteni sana watu wangubwa nguvu..! MUNGU awabariki na kuwaongezea pale mlipopungukiwa..!
Pata ushauri zaidi kwa kupitia account yangu ya Face book kwa jina.

PRINCE NAAHJUM ALSINA
 
Samehe yaliyopita. Weka huru nafsi yako. Najua sasa hivi waweza kuwa unafikiria ni kwa jinsi gani maisha yako yangalikuwa ya furaha kama ungalifanya jambo fulani tofauti na ulivyofanya.

Unajaribu kutizama nyuma na kutaka kubadilisha yale unayofikiri yalikuwa makosa huko nyuma. Ila mimi ninachokuomba ni kusamehe nafsi yako.

Ni vigumu sana kumfuta kichwani mtu uliyempenda. Na hauwezi kupita njia ya mkato katika barabara ambayo Mungu ameamua akupitishe kufikia lile tumaini jema. Naam tumaini la kuwa na furaha pasina ukomo.

Hivyo basi samehe yaliyopita na jivunie nafsi yako kwa vile yaloyopita yamekupa busara, yamekupa moyo, na mtizamo chanya. Ni vema na busara kuikana nafsi yako kwa yale machungu na magumu tunayopitia.

Na muda mwingine makosa ambayo tumekwisha yafanya huweka alama mioyoni mwetu hua ni kama kilainishi cha kutufikisha kule ambako tunatakiwa tuwepo, kule kwenye matumaini na furaha tele.

Inawezekana ulisomesha mchumba na mwisho wa siku amekugeuka, sio kosa lako chukulia kama ulitoa msaada na samehe yaliyopita.

Au yawezekana uliolewa, mambo yalikuwa mazuri mwanzoni ila sasa hali si hali, umerudi kwenu huitamani tena ndoa. Samehe yaliyopita jipange upya. Thamani yako bado ipo.

Unazo baraka tele zinakuja upande wako. Kila gumu unalopitia linakuandaa kupokea jema linalo kuja.

Busara yangu, "No relationship is ever a waste of time if it didn't bring u what u want it taught you what u don't, as soon as your EX sees you smiling thats the minute they want you back"

Mungu akuvushe katika Magumu unayopitia. AMEN!
We jamaa uko vizuri!
Umenigusa sana ila ubarikiwe sana!
 
Kwa comments za mada hii, inahashiria watu wengi ni wahanga katika suala la Mapenzi.

Maana mada hii imebeba maneno ya faraja kwa wenye makovu, pamoja nawale ambao bado wana majeraha kwenye mioyo yao hasa yaliyotoka na kupenda mahali pasipo sahihi.

Binafsi nimefarijika hasa baada ya kuona comments nyingi za ASANTE, UBARIKIWE, AMEEN. Huwa nadhani limoyo langu ndio linakiranga cha kupenda hovyo NA kuumia pindi lisalitiwapo.

POLENI KWA MAUMIVU:
- Evenly salt
- me too
- fredy Paul
-Tauras6

PIA PONGEZI KWA @ Mtoto wa Malaya kwa moyo wa chuma.
 
Samehe yaliyopita. Weka huru nafsi yako. Najua sasa hivi waweza kuwa unafikiria ni kwa jinsi gani maisha yako yangalikuwa ya furaha kama ungalifanya jambo fulani tofauti na ulivyofanya.

Unajaribu kutizama nyuma na kutaka kubadilisha yale unayofikiri yalikuwa makosa huko nyuma. Ila mimi ninachokuomba ni kusamehe nafsi yako.

Ni vigumu sana kumfuta kichwani mtu uliyempenda. Na hauwezi kupita njia ya mkato katika barabara ambayo Mungu ameamua akupitishe kufikia lile tumaini jema. Naam tumaini la kuwa na furaha pasina ukomo.

Hivyo basi samehe yaliyopita na jivunie nafsi yako kwa vile yaloyopita yamekupa busara, yamekupa moyo, na mtizamo chanya. Ni vema na busara kuikana nafsi yako kwa yale machungu na magumu tunayopitia.

Na muda mwingine makosa ambayo tumekwisha yafanya huweka alama mioyoni mwetu hua ni kama kilainishi cha kutufikisha kule ambako tunatakiwa tuwepo, kule kwenye matumaini na furaha tele.

Inawezekana ulisomesha mchumba na mwisho wa siku amekugeuka, sio kosa lako chukulia kama ulitoa msaada na samehe yaliyopita.

Au yawezekana uliolewa, mambo yalikuwa mazuri mwanzoni ila sasa hali si hali, umerudi kwenu huitamani tena ndoa. Samehe yaliyopita jipange upya. Thamani yako bado ipo.

Unazo baraka tele zinakuja upande wako. Kila gumu unalopitia linakuandaa kupokea jema linalo kuja.

Busara yangu, "No relationship is ever a waste of time if it didn't bring u what u want it taught you what u don't, as soon as your EX sees you smiling thats the minute they want you back"

Mungu akuvushe katika Magumu unayopitia. AMEN!
AMEEN UBARIKIWE
 
Amen!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom