Hataki kuonana na mimi...

Hataki kuonana na mimi...

Kijana tatizo liko kwako sio kwa mpenzi wako. Maadam ulishamtambua kuwa hapendi MTU Bali PESA yako.

Hivyo umeshindwa kutega mtego wa kuunganisha Hitaji lake na Hitaji lako.

Inaonekana unataka PAPUCHU hilo ndio Hitaji lako. NA yeye anataka PESA.

Ila yeye anafanikiwa kupata hitaji lake hivyo hana makosa kabisa. Makosa yako kwako kwani Unashindwa kutumia Njia sahihi ya kupata hitaji lako.

Tambua kuwa kwamwe hutopata Papuchi ya mpenzi wako, kama mitego yako haitaweza kuunganisha kile anacho kihitaji kwako na kile unachokihitaji kwake.

Mbinu hii inafaa kama nawewe hitaji lako kwake ni Papuchu.Ila kama ulikuwa na male go nae kimaisha, Achana nae.
asante sana kwa ushauri mzuri, nimejifunza kitu mkuu
 
Hili nalo linahitaji kushauriwa kweli? sema ndio hivyo kupenda ni upofu hivyo nahisi huwo upofu ndio unakufanya usione hata hili ambalo liko wazi kbs kuwa huyo hana time na ww hivyo jiongeze mkuu, pole lakin
sawa mkuu nimekuelewa
 
Kwanini anapokua kaja kuchukua anachokitaka.. usitumie mda huo kuongelea mambo yako befor haujampa? na kama atakuambia hana mda wa kuongelea hayo mambo.. basi hapo jitoe hakuna mapenz hapo. Tafta ataekua na mda kuongea na kupanga mipango yenu.
ni kweli mara nyingi anapokuja huniambia hataki kukaa sana, anawahi nyumbani kwa ivo kama ni mazungumzo labda cku nyingine.
 
Bila shaka mko poa wakuu.

Ni miezi kadhaa imepita tangu nilivoanzisha mahusiano na girlfriend wangu, ila kuna jambo limekuwa linaniumiza kichwa na kushindwa kuelewa nifanye nini.

Kila ninapohitaji kuonana nae ili nibadilishane nae mawazo ananipa vikwazo vingi mara nimechoka, sina muda, nina kazi nyingi n.k.

Ila anapohitaji kitu nikimwambia njoo tuonane anakuja haraka.

Naombeni ushauri wenu pls.
daah,,khy akiwa na shida ya hela ndo anakufuta...kweli mjin msingi kiuno🙂
 
Ukiona tembo anaringa ujue mvua imekaribia
 
Bila shaka mko poa wakuu.

Ni miezi kadhaa imepita tangu nilivoanzisha mahusiano na girlfriend wangu, ila kuna jambo limekuwa linaniumiza kichwa na kushindwa kuelewa nifanye nini.

Kila ninapohitaji kuonana nae ili nibadilishane nae mawazo ananipa vikwazo vingi mara nimechoka, sina muda, nina kazi nyingi n.k.

Ila anapohitaji kitu nikimwambia njoo tuonane anakuja haraka.

Naombeni ushauri wenu pls.
Hahaaa pole mkuu huyo sio mpenz sahihi kwako bali yupo kwa ajili ya kukuchuna,jiongeze
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom