Recent content by ALIKADI

  1. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    inasemekana THEO anataka pound zaidi ya 100,000 kwa wiki jambo ambalo haiezekani, ukizingatia anachukua 100,000 kwa sasa mkataba alionao... ukilinganisha na hali aliyopo sasa baada ya kutoka long term injury na kupoteza form on top of that ALEXIS anakula pound 130,000 i think na OZIL 110,000...
  2. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Olivier Giroud (left) and Arsene Wenger are the Premier League Player and Manager of the Month
  3. A

    Message kwa waafrika wanaoishi Israel

    Definitely you are out of your mind soma hapa Africans Demand Their Freedom in Israel
  4. A

    Message kwa waafrika wanaoishi Israel

    kwa sababu tu hunaga akili...alafu umevaa miwani ya udini kichwani tayari
  5. A

    Njia za kukwepa kuibiwa ukinunua vitu Mtandaoni, Hasa Alibaba na Aliexpress

    Osaba, una claim kwa kupiga screen shot izo refunds zako PAYPAL na unawapigia bank wakupe email uwa attachie au unawapekekea... hasa CRDB refunds wanazibania...mpaka upige makelele sana
  6. A

    Njia za kukwepa kuibiwa ukinunua vitu Mtandaoni, Hasa Alibaba na Aliexpress

    Habari zenu wadau, Katika mitandao ya kuuza na kununua vitu kwa njia ya kielekroniki (online markets) kunaambatana na hatari nyingi sana na hasa ukiwa unanunua vitu kwenye mitandao iliyojaa watu wezi (scammers) kama Aliexpress,alibaba,dhget, Made in China n.k. Baada ya kufanya biashara na hawa...
  7. A

    Saudi blogger Badawi 'flogged for Islam insult'

    bakora hizo akitoka atakuwa amenyooka
  8. A

    Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

    Dogo mapovu yako hayasaidii kitu...Charlie Hebdo ndo hivyo tena....12 men gunned down on point blank They deserve it ukubali au hutaki unaacha
  9. A

    Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

    we ndo husiyeifahamu hali inayoendelea middle east....some of us we do!!
  10. A

    Joseph Kabila awaongoza mabodigadi misitu ya kongo

    SIO POINT YA MSINGI KABISA nchi ya kijinga sana hakuna MAIN ROAD ya kuunganisha miji muhimu yoye....hamna barabara ya kutokea BUKAVU kwenda kinshasa, wala Lubumbashi kwenda GOMA kuja kishansa.... wamekalia vita.....usafiri unaousema wa ndege ndege zenyewe (za kizamani madege ya jeshi) mbuzi...
  11. A

    Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

    Mkuu huyo jamaa yuko frustrated vibaya....povu tupu dah...kazi ipo msamehe bure
  12. A

    Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

    baba jukwaa liko JAMII INTELIGENCE kaanzishe thread mambo ya ALLAH kule....unachakachua thread ya watu hapa ni kuhusu ma cartoonist baasi kuhusu allah sijui mambo mengine tafta siku ingine sawa kijana jioni njema
  13. A

    Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

    double standard kama kawaida yao JF wengi mno humu
Back
Top Bottom