Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Status
Not open for further replies.
Ndo utubainishie sasa wewe hasa ukoje?.kwanini ishu ya kina charb unaitolea jicho sana,ama ndo umepatiapo njia ya kuwaponda waislamu?.
jana kuna watu kama kumi wamepatikana mexico wamekatwa vichwa sijaona ukiwa concerned.
leo kuna mbaba kule marekani kamtupa binti wake wa miaka mitano toka ghorofa ya tano,akafa,hauko concerned.

nikwambie tu,wewe una double standard kama walivyo wengi wa aina yako.
Kuna mwingine tena kamtupa mtoto wake kwenye bridge la ft 60 Florida.
 
Je ni haki kuwaachia wanadamu wamuue mtoto wa mungu wa pekee kwa kipigo kikali cha kikatili huku Babake akiangalia !? Balali

Ile ilikuwa ni zuga tu, ni lazima damu ilitakiwa imwagwe ili Mohammed na kundi lake la majini waahibie kama wanavyoaibika sasa hivi kwa dini yao kuwa ya kijambazi na mauaji
 
Huko nikupotosha tu. je walipokuwa wanauwa wanauwa kwa jina gani? wanasema Allahakbar hawasemi mtume muhamad elewa ndugu.
Wewe ndiyo unapotosha unaleta porojo ulikuwepo wakati wanaume wa shoka wanapofanya kazi yao kwa ustadi mkubwa, watu wanaonekana macho tu hayo maneno umeyasikia wapi.
 
Mkuu huyo jamaa yuko frustrated vibaya....povu tupu dah...kazi ipo

msamehe bure

Badala ya kujibu hoja unakomenti nini hapa, ni halali kuuwa kwa jina la mnyaazimungu? nisahihi kumsaidia mungu?
huku nikudhalilisha uwezo wa Allah, maana hawezi tegemea uwezo wa wanadamu alowaumba.
 
Wewe ndiyo unapotosha unaleta porojo ulikuwepo wakati wanaume wa shoka wanapofanya kazi yao kwa ustadi mkubwa.

Ukifunguwa Television nying leo BBc, Sky news, Aljazeera, nk , utapata hiki nikisemacho, mashambulizi na kaulimbiu Allahakbar. Nadhani unajipiga chenga pekeyao. wanaosoma post hizi nakuangalia taarifa za habari huu ndio ukweli.
 
Wanamlinda Mohammed kwa sababu ana kashfa nyingi za totoz[/QUOTE

hii signature yako nadhani TAFSIRI YAKO umeichakachua aya inasomeka hivi

QUR'AN 48:29

''Muhammad (صلى الله عليه وآله وسلم) ni Rasuli wa Allaah. Na wale walio pamoja naye ni wakali zaidi dhidi ya makafiri; wanahurumiana baina yao. Utawaona wakirukuu, (na) wakusujudu wakitafuta fadhila na Radhi kutoka kwa Allaah. Alama zao zi katika nyuso zao kutokana na athari za sujudu"

UKALI uliosemwa hapo ni upi? maana ukishaweka hiyo tafsiri uliyoweka ushachakachua tayari maana
 
Kitorondo kitorondo.....mwendawazimu kaingiajee !
daah? kombo mtu wangu, walahi ile ahadi ya kupata dhakar mdinda, gongo na makalio imeota nyasi! Umefikia ujasiri kumuita muhammad chitorondo ameingiaje na wazimu? teh tehe!
 
Badala ya kujibu hoja unakomenti nini hapa, ni halali kuuwa kwa jina la mnyaazimungu? nisahihi kumsaidia mungu?
huku nikudhalilisha uwezo wa Allah, maana hawezi tegemea uwezo wa wanadamu alowaumba.

Vipi kuhusu yule mtoto wa mungu aliyepigwa,na wanadamu !?....babake alikuwa wapi ? Balali
 
Last edited by a moderator:
Vipi kuhusu yule mtoto wa mungu aliyepigwa,na wanadamu !?....babake alikuwa wapi ? Balali

Ninakufaham kwa muda mref kwa post zako, unaheshimika hapa jukwaani. Bahati mbaya sifanyi majibu marambili kwa swali lilelile. Sifanyi mchezo wa kuigiza please observe this.
 
Vijana wa kiislamu wa ufaransa wameamua kutoa salamu za mwaka mpya. Hawa wanahabari na watu wa mfano wake wanatakiwa wajitazame tena kabla hawajafanya jambo la kukashifu imani ya mtu. Bado salmani rushdie nae qiama chake kinakuja.
 
Uelewa hafifu wa baadhi yetu unatupeleka huko kwenye mauwaji kwa kisingizio cha kumsadia mungu. Hii nikupotoka kwa hali ya juu, mungu hasaidiwi wala hanaudhaifu tunaodhani. Mtu anatoa uhai wa mtu mwingine kwa jina la Allah hapa nikumkosea Allah heshima, nidham na kumdhalilisha.
 
Naweza kuwaaga maana swali langu limekosa majibu zaidi ya dhihaka, kejeri na ushamba wa kutojuwa uwezo wa mungu.
Niwatakie usiku mwema.
 
Badala ya kujibu hoja unakomenti nini hapa, ni halali kuuwa kwa jina la mnyaazimungu? nisahihi kumsaidia mungu?
huku nikudhalilisha uwezo wa Allah, maana hawezi tegemea uwezo wa wanadamu alowaumba.
Naona povu linawagika tu Gunmen walikuwa wamevaa maske wanaonekana macho tu, hayo maneno nani aliyasikia au wewe ndiyo msemaji wa Charlie Hebdo.
 
Vijana wa kiislamu wa ufaransa wameamua kutoa salamu za mwaka mpya. Hawa wanahabari na watu wa mfano wake wanatakiwa wajitazame tena kabla hawajafanya jambo la kukashifu imani ya mtu. Bado salmani rushdie nae qiama chake kinakuja.

Allah Akbar...
 
Uelewa hafifu wa baadhi yetu unatupeleka huko kwenye mauwaji kwa kisingizio cha kumsadia mungu. Hii nikupotoka kwa hali ya juu, mungu hasaidiwi wala hanaudhaifu tunaodhani. Mtu anatoa uhai wa mtu mwingine kwa jina la Allah hapa nikumkosea Allah heshima, nidham na kumdhalilisha.

Mbona Mungu wa wakristo alipojitoa mhanga pale msalabani na kuchapwa viboko nae alikuwa analitaja jina la Mungu mwenzake? HELOI, HELOI MBONA UMENIACHA!
 
Ukifunguwa Television nying leo BBc, Sky news, Aljazeera, nk , utapata hiki nikisemacho, mashambulizi na kaulimbiu Allahakbar. Nadhani unajipiga chenga pekeyao. wanaosoma post hizi nakuangalia taarifa za habari huu ndio ukweli.
Unategemea BBC, Sky News watasema nini zaidi ya propaganda tumia akili yako uliyopewa na Mungu siyo kushikiwa akili, gunman wamevaa Maske wanaonekana macho tu picha tumeziona hayo meneno nani kayasikia hawa bbc walikuwepo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom