kabisa,halafu magaidi yalitoka yanarusha risasi,wangekuwa polisi wa bongo wangekimbia,mapolisi ya kenya walimkimbiwa na magaidi hivi hivi pamoja na kulipua malls,wakaishia kuiba tu vitu kwenye malls,pongezi kwa polisi wa Ufaransa
Na wao wamekufa,walijidai kukimbia na wao wamepata haki yao
jamani naomba hii story kuijua
Teh teh teh teh watu wawili kwa askari 80 alikuwa wapi kuwasaidia wachora katuni wakati wanavyomwagwa mavi.umemuona huyo sniper kwenye picha pembeni? hahahahahahaha
![]()
Hawa mbwa Uislam Ukikashifiwa utasikia Freedom of speech !
Mayahudi wakichorwa tu utasikia Anti-Semitism...
Safi sana ujumbe umefika tena murua Muislam haogopi kifo wamekufa lakini wachora katuni stadi wa Charlie Hebdo wanaandaliwa mazishi.
Tet teh teh...watu wa shoka wanasubiri wachore tena.
Hawa mbwa Uislam Ukikashifiwa utasikia Freedom of speech !
Mayahudi wakichorwa tu utasikia Anti-Semitism...
Safi sana ujumbe umefika tena murua Muislam haogopi kifo wamekufa lakini wachora katuni stadi wa Charlie Hebdo wanaandaliwa mazishi.
Tet teh teh...watu wa shoka wanasubiri wachore tena.
kulikuwa na makudi mawili ya magaidi wakiwashikilia mateka sehemu mbili tofauti. kundi moja linasema mkivamia kundi jingine tunaua mateka tulionao. walichofanya polisi na kikosi cha makomando ni kwanza kuzima mitambo ya simu iliwasweze kuwasiliana na kuwashambulia wote wakati mmoja.
Teh teh teh teh watu wawili kwa askari 80 alikuwa wapi kuwasaidia wachora katuni wakati wanavyomwagwa mavi.
Hao polisi walishindwa nini kuwasaidia wachora katuni wa Charlie Hebdo wasipigwe risasi ofisni kwao.kulikuwa na makudi mawili ya magaidi wakiwashikilia mateka sehemu mbili tofauti. kundi moja linasema mkivamia kundi jingine tunaua mateka tulionao. walichofanya polisi na kikosi cha makomando ni kwanza kuzima mitambo ya simu iliwasweze kuwasiliana na kuwashambulia wote wakati mmoja.
Vita ya Iraq, Afghanistan ina sintofahamu kubwa, humu JF hakuna mtu anweweza kujielezea tusidanganyane wadau
Unajua wanaokuwa magaidi ni wale watoto ambao wanakuwa kama desparate katika kukua kwao,kwa mfano hawa ndugu wawili ni yatima na kukua kwao wamekulia kwenye ustawi wa jamii,inakuwa raisi kumezeshwa idea za kigaidi,ila bora wamekufa,maana lazima wangefanya ugaidi tena maana walikuwa wamejiandaahawa jamaa wananikera sana. wanafanya maisha ya wageni huku ulaya kuwa magumu sana kwa sasa.
Haya hayatatokea kama wataacha kukashifu Dini za watu. Hawa watu huwa hawaogopi kufa hata kidogo
wqwow
ndo nimefika home jion naona hapa bbc ndo wanaondolewa na magari maalumu hapa naona wameuliwa sijui wote