Recent content by Alfu Lela U lela

  1. Alfu Lela U lela

    JamiiForums Tanzania Nyie wanaume wa miaka 29+ mnaoishi kama kuku wa kisasa, mnasubiri kuolewa

    Usikute Ndugu Mwandishi Anakula Kwa Shemeji yake, Yaani yeye na Dadaake Wote Wameolewa Sehemu Moja.
  2. Alfu Lela U lela

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Kuna kijana Usariver alipewa shilingi 50,000 na kuahidiwa Tsh. Milioni 5 ili ashiriki (maandamano)

    Aliyesema hivi eti ni Jaji,!! Inafikirisha sana kwa kweli.
  3. Alfu Lela U lela

    JamiiForums Tanzania Makanisa ya Kilokole yana shida kubwa sana

    Asante kwa picha mkuu,
  4. Alfu Lela U lela

    JamiiForums Tanzania Trump ndio anaomba mazungumzo sio Iran

    Wacha wee,!!
  5. Alfu Lela U lela

    JamiiForums Tanzania Wanaojiita 'Wakatoliki' wakiimba 'Mwamba Mwamba', huu ni wimbo wa Kanisa Katoliki?

    Hivi haya sio maandamano?!!
  6. Alfu Lela U lela

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ataishi na huu ukweli kwa maisha yake yote yaliyobakia hapa duniani

    Muwe mnatafakari kwanza kabla ya kuandika maoni yenu, kwa hiki ulichoandika tukikuita mpumbavu utasema umeonewa? Jamii forum nowdays imevamiwa kwa kasi na watu wajinga wajinga
  7. Alfu Lela U lela

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kama nyinyi mnavyosubiri kwa miongo miwili sasa
  8. Alfu Lela U lela

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sasa kwanini tusiwe na midomo wakati sisi ni mabingwa Dunia au umesahau.
  9. Alfu Lela U lela

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sasa kama kocha hana wachezaji anaowahitaji waachane nae walete kocha atakaeweza kufit kimfumo na wachezaji waliopo
Back
Top Bottom