Recent content by Alfa Juma

  1. Alfa Juma

    JamiiForums Tanzania Busara za Freeman Mbowe zainusuru Serikali

    Pongez viongoz wachadema ninawakubali saana
  2. Alfa Juma

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi: Mtu anayetaka kujenga Kiwanda popote nchini aje kwangu, atapata ardhi ndani ya siku 7

    Nafasi hiyo iko waz wenye mapesa nawaombeeni saana msiipoteze hii nafas adim
  3. Alfa Juma

    JamiiForums Tanzania Kamatakamata ya viongozi wa CHADEMA nchi nzima imeshika kasi

    Serikali nikitu gan imewakosea wana chadema hadi ikafikia mahara ikawa insjishuku namna hiii? Kwanza nimakosa polis kukagua mahara afu mhuusika mwenye nyumba au mwenye chumba hayupo mahara husika, endapo akikagua afuu mhuusika hayupo kuna uwezekano mkuubwa tena wahali ya juu huu mkaguz...
  4. Alfa Juma

    JamiiForums Tanzania Tafakari ya leo; Vicious cycle

    Shukran mkuu ukweli nimenufaika ingawa nikwakiasi kichache ila nimeongeza kitu kipya ktk akili yangu kila kheri mkuu
  5. Alfa Juma

    JamiiForums Tanzania Njia 8 za kupata ajira popote hata bila cheti (part 1.5 aka ufafanuzi)

    Daah pongez saana mkuu unaonekana we si mbinafsi kutokana na tabia yako ndio maana mungu anakusaidia ktk kila njia unazopitia
  6. Alfa Juma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanuni za kuishi na watu/binadam Vizuri

    Nimeipenda
  7. Alfa Juma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe Ungefanyaje?

    Kama alikuwa nakila sifa njema yawezekana angekuwa mke mwema sasa kwanini usingemuoa kabisa naakawa furaha yamoyo wako?
  8. Alfa Juma

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi kizimbani: Kapteni wa JWTZ apandishwa kizimbani kwa kosa la kutaka kuua

    Watuu wamevurugwa akili si zao we unaleta ulembo barabarani hata ningekuwa me ningefagia tuuh
  9. Alfa Juma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujumbe muhimu kwa wanaume wote wanaotarajia kuoa

    Saaaaaafiiii saaaaana
  10. Alfa Juma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo ugegede na kuondoka hakuna kulala

    Mmmmmmh hatar saaaana kuoa mke ambaye anamtoto afu isitoshe hao watu bado wanawasiriana, ni kher kuoa mke mwenye mtoto ila baba wamtoto kashajifia, lasivyo ni uchafu nwanzo mwisho
  11. Alfa Juma

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine yoyote ili nipate kufanya ujasiriamali

    Fanya maamuz yaliyo sahih, hiyo ni nafasi adimu huwa aijitokez mara mbili, wengi huitaman ila hawaipati, subir kidgo wadau wanaoijua vizur arusha waje wakusaidie
  12. Alfa Juma

    JamiiForums Tanzania NAUZA KIWANJA

    Sh ngapi mkuu hicho kiwanja;?
  13. Alfa Juma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume au uume mdogo awe mume

    Usijari utampata mwenye sifa unazozihitaji ila mmmh kuna sifa zingine uwez kuzijua had mwepo mahara faragha, sasa huko ukikuta ile sifa unayoitaji haipo utafanyaje ingawa huyo anajiona amekidh vigezo?
  14. Alfa Juma

    JamiiForums Tanzania Eddo Kumwembe: Hii inanitia shaka hata mimi

    Usiogope sema kile chenye ushahid nakisichona ushahid achana nacho
  15. Alfa Juma

    JamiiForums Tanzania Sisi wataalam wa Tanzania tumesikitishwa na kauli yako Rais Magufuli

    Ukweli aupingiki kufanya kazi nandugu ni hasara iliyodhahir nikher ufanye kaz namtu baki, ndugu akikuibia ktk kaz uliyompa hutomfanya chochote zaid kubaki kulalama, lakin mtu baki akiiba hakika atajuta kwaalicho kifanya, mheshiwa kafikir mbariii
Back
Top Bottom