Busara za Freeman Mbowe zainusuru Serikali

chuuma

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2015
Posts
363
Reaction score
557
HIZI NI BUSARA ZILIZOTUKUKA

Na Kilawa the Iron

Hekima na busara za viongozi wa CHADEMA zinafanana sana na zile za mfalme Suleiman ambazo tumejifunza katika vitabu vitakatifu .
Pamoja na serikali yetu kuwanyanyasa wapinzani hawa kwa kuwakamata,hata kuwapiga wafuasi na viongozi wa chadema pia kuwafungulia kesi mbalimbali zisizo na kichwa wala miguu lakini wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha haki za wananchi zinapatika kwa wakati. Demokrasia inarudi mahali pake

Viongozi wa chadema walitangaza kufanya maandamano na mikutano nchi nzima kupinga udikteta September mosi 2016,
operation hii ilipewa jina maarufu sana UKUTA lililoshika kasi kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vyote vya habari.
Mjini na vijijini kote wananchi walijiandaa kushiriki maandamano haya kama ilivyopangwa.

UKUTA yenye maana ya UMOJA WA KUPINGA UDIKTETA TANZANIA imekuwa na mafanikio makubwa hata kabla ya Tr 1September ,na hii imejidhihirisha pale watawala walipoamua kulinoa jeshi la polisi kumbana na viongozi wa chama,wafuasi na wapenda demokrasia wote.,tumeona matamko mbalimbali kutoka kwa wakuu wa nchi,wakuu wa jeshi la polisi n.k

Jeshi la polisi mikoani kote wameonekana wakifanya mazoezi ya haki ya juu kuliko ilivyo kawaida ,tena kwenye viwanja vya wazi na kwenye makazi ya watu,ilikuwa ni kawaida kusikia milindimo ya mabomu na risasi mitaani mithili ya nchi yenye mapigano.
Lakini pia kumekuwa na matamko mbalimbali kutoka kwa wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya mbalimbali.
Mfano mzuri ni pale RC Makonda alipojitokeza hadharani na kuikanyaga katiba kwa vitisho ambavyo kama wapinzani nao wasingekuwa na busara hakika usalama wa wananchi ingekuwa hatarini.

Kwakuwa watu walijipanga na walikuwa tayari kwa lolote na serikali ilijiandaa kutumia dola kudhibiti maandamano hayo kwa namna yoyote ,hakika wengi wetu tungepoteza maisha na kuacha familia zikihangaika ,lakini yote haya yangetokea kwa faida ya kizazi kijacho.

Busara za viongozi wa CHADEMA zimeonekana baada ya viongozi wa dini kupitia jumuia zao,viongozi wakuu waliostaafu,vituo vya haki za binadamu na mashirika yasiyo ya serikali yanayotetea haki za binadam kuwaomba kusitishs maandamano hayo ili waweze kuutatua mgogoro huo kwa njia ya mazungumzo ,kwa weledi mkubwa ,kwa fikra pana viongozi wa CHADEMA wameonesha busara zao zilizotukuka na kuwatuliza wafuasi wao na hakika swala hili limepokelewa na wanachama vizuri kabisa.

Wajinga watasema CHADEMA imeiogopa serikali,Welevu wataalewa umuhimu wa busara za viongozi hawa wa CHADEMA katika kuutatua mgogoro huu wa kisiasa ambao unaweza kuiyumbisha nchi yetu kiuchumi.

Hakuna asiyejua madhara yanayoweza kujitokeza kwenye mgogoro wa kisiasa na katika hili kamati kuu ya CHADEMA,wanapaswa kupongezwa kwa maamuzi haya mazuri na ya busara.

Ikumbukwe tr 1 September 2016 ni siku ambayo jeshi letu linaazimisha siku yao ,na wataazimisha kwa kufanya usafi hivyo kwa busara za viongozi wa CHADEMA jeshi letu litapata fursa ya kufanya usafi na kuadhimisha siku yao bila bugudha na naamin watatumia pia siku hiyo kumshauri Mh Rais kusikiliza kilio cha watanzania ,wanaomtaka aongoze nchi hii kwa kufuata katiba.

Busara hizi za viongozi wa CHADEMA ni kete nzuri sana kuwafanya wananchi kuelewa kwa undani UKUTA,kuielewa serikali yao kwa mapana,na kupembua kwa kina kujua undani wa ni nani kati ya serikali na upinzani wanaopenda Amani? Au wanaovuruga Amani

Busara hizi zinawapa fursa waumin wote wanaoamini katika maridhiano kutafuta haki au kutatua mgogoro wa kisiasa kutafakari kwa kina.

Ikiwa serikali itashindwa kuumaliza mgogoro huu kwa kukaa meza moja na upinzani basi wafuasi wa maandano yatakapotangazwa tena watakuwa wengi sana Mara tatu zaidi ya sasa
Nawahakikishia huu ni mwanzo mzuri wa safari ya safari ya kuisaka haki

Viva CHADEMA, Viva viongozi wote
 
Naam hyo ndio CHADEMA na hutoona Maderaya yakipita mitaani hii UKUTA imewajambisha hatari mpaka wakaliingiza JWTZ kwenye siasa aibu hii kina Makonda walikuwa wasemaji wa JWTZ
 
Umetuma hii thread kujaribu kupunguza makali ya thread za Mbowe anavyodaiwa na NHC tehe tehe tehe
 
Ninachokiona ni kwamba CHADEMA imesaidia watanzania kuielewa vema historia ya JWTZ. Watanzana wachache sana walikuwa wakijua kwamba JWTZ ilianzishwa Septemba Mosi leo hii kupitia CHADEMA kila mtanzania anajua umuhimu wa hii siku.
Unaweza kupitia kwenye haya maandiko ukaona hapo awali walisherehekea kwa staili zipi:
JWTZ Jeshi Bora Lenye Weledi na Ujuzi Afrika
Naam hyo ndio CHADEMA na hutoona Maderaya yakipita mitaani hii UKUTA imewajambisha hatari mpaka wakaliingiza JWTZ kwenye siasa aibu hii kina Makonda walikuwa wasemaji wa JWTZ
 
*HIZI NI BUSARA ZILIZOTUKUKA*

Na Kilawa the Iron

Hekima na busara za viongozi wa CHADEMA zinafanana sana na zile za mfalme Suleiman ambazo tumejifunza katika vitabu vitakatifu .
Pamoja na serikali yetu kuwanyanyasa wapinzani hawa kwa kuwakamata,hata kuwapiga wafuasi na viongozi wa chadema pia kuwafungulia kesi mbalimbali zisizo na kichwa wala miguu lakini wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha haki za wananchi zinapatika kwa wakati. Demokrasia inarudi mahali pake

Viongozi wa chadema walitangaza kufanya maandamano na mikutano nchi nzima kupinga udikteta September mosi 2016,
*operation hii ilipewa jina maarufu sana UKUTA lililoshika kasi kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vyote vya habari.*
Mjini na vijijini kote wananchi walijiandaa kushiriki maandamano haya kama ilivyopangwa.

*UKUTA yenye maana ya UMOJA WA KUPINGA UDIKTETA TANZANIA imekuwa na mafanikio makubwa hata kabla ya Tr 1September* ,na hii imejidhihirisha pale watawala walipoamua kulinoa jeshi la polisi kumbana na viongozi wa chama,wafuasi na wapenda demokrasia wote.,tumeona matamko mbalimbali kutoka kwa wakuu wa nchi,wakuu wa jeshi la polisi n.k

Jeshi la polisi mikoani kote wameonekana wakifanya mazoezi ya haki ya juu kuliko ilivyo kawaida ,tena kwenye viwanja vya wazi na kwenye makazi ya watu,ilikuwa ni kawaida kusikia milindimo ya mabomu na risasi mitaani mithili ya nchi yenye mapigano.
Lakini pia kumekuwa na matamko mbalimbali kutoka kwa wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya mbalimbali.
Mfano mzuri ni pale RC Makonda alipojitokeza hadharani na kuikanyaga katiba kwa vitisho ambavyo kama wapinzani nao wasingekuwa na busara hakika usalama wa wananchi ingekuwa hatarini.

*Kwakuwa watu walijipanga na walikuwa tayari kwa lolote na serikali ilijiandaa kutumia dola kudhibiti maandamano hayo kwa namna yoyote* ,hakika wengi wetu tungepoteza maisha na kuacha familia zikihangaika ,lakini yote haya yangetokea kwa faida ya kizazi kijacho.

*Busara za viongozi wa CHADEMA zimeonekana baada ya viongozi wa dini kupitia jumuia zao,viongozi wakuu waliostaafu,vituo vya haki za binadamu na mashirika yasiyo ya serikali yanayotetea haki za binadam kuwaomba kusitishs maandamano hayo ili waweze kuutatua mgogoro huo kwa njia ya mazungumzo ,kwa weledi mkubwa ,kwa fikra pana viongozi wa CHADEMA wameonesha busara zao zilizotukuka na kuwatuliza wafuasi wao na hakika swala hili limepokelewa na wanachama vizuri kabisa.*

Wajinga watasema CHADEMA imeiogopa serikali,Welevu wataalewa umuhimu wa busara za viongozi hawa wa CHADEMA katika kuutatua mgogoro huu wa kisiasa ambao unaweza kuiyumbisha nchi yetu kiuchumi.

Hakuna asiyejua madhara yanayoweza kujitokeza kwenye mgogoro wa kisiasa na *katika hili kamati kuu ya CHADEMA,wanapaswa kupongezwa kwa maamuzi haya mazuri na ya busara.*

*Ikumbukwe tr 1 September 2016 ni siku ambayo jeshi letu linaazimisha siku yao ,na wataazimisha kwa kufanya usafi hivyo kwa busara za viongozi wa CHADEMA jeshi letu litapata fursa ya kufanya usafi na kuadhimisha siku yao bila bugudha na naamin watatumia pia siku hiyo kumshauri Mh Rais kusikiliza kilio cha watanzania ,wanaomtaka aongoze nchi hii kwa kufuata katiba*.

Busara hizi za viongozi wa CHADEMA ni kete nzuri sana kuwafanya wananchi kuelewa kwa undani UKUTA,kuielewa serikali yao kwa mapana,na kupembua kwa kina kujua undani wa ni nani kati ya serikali na upinzani wanaopenda Amani? Au wanaovuruga Amani

Busara hizi zinawapa fursa waumin wote wanaoamini katika maridhiano kutafuta haki au kutatua mgogoro wa kisiasa kutafakari kwa kina.

*Ikiwa serikali itashindwa kuumaliza mgogoro huu kwa kukaa meza moja na upinzani basi wafuasi wa maandano yatakapotangazwa tena watakuwa wengi sana Mara tatu zaidi ya sasa*
Nawahakikishia huu ni mwanzo mzuri wa safari ya safari ya kuisaka haki

Viva CHADEMA, Viva viongozi wote
Failures will try to coin all kinds of excuses to justify their failures. This is typical of CDM.
 
Maneno ya zitto k
Screenshot_2016-09-01-11-10-36-1.png
abwe
 
Busara ni pale mtu anaposhindwa kutimiza yale aliyoyaahidi kwa kutokuwa na uwezo au woga, kwa busara hii naomba nimvulie kofia huyo M/kitu wako aliyejaa mabusara na nidhamu ya uwoga.
 
Na kuanzia leo nitambatiza lile jina la Muzee wa Bussarah
 
*HIZI NI BUSARA ZILIZOTUKUKA*

Na Kilawa the Iron

Hekima na busara za viongozi wa CHADEMA zinafanana sana na zile za mfalme Suleiman ambazo tumejifunza katika vitabu vitakatifu .
Pamoja na serikali yetu kuwanyanyasa wapinzani hawa kwa kuwakamata,hata kuwapiga wafuasi na viongozi wa chadema pia kuwafungulia kesi mbalimbali zisizo na kichwa wala miguu lakini wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha haki za wananchi zinapatika kwa wakati. Demokrasia inarudi mahali pake

Viongozi wa chadema walitangaza kufanya maandamano na mikutano nchi nzima kupinga udikteta September mosi 2016,
*operation hii ilipewa jina maarufu sana UKUTA lililoshika kasi kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vyote vya habari.*
Mjini na vijijini kote wananchi walijiandaa kushiriki maandamano haya kama ilivyopangwa.

*UKUTA yenye maana ya UMOJA WA KUPINGA UDIKTETA TANZANIA imekuwa na mafanikio makubwa hata kabla ya Tr 1September* ,na hii imejidhihirisha pale watawala walipoamua kulinoa jeshi la polisi kumbana na viongozi wa chama,wafuasi na wapenda demokrasia wote.,tumeona matamko mbalimbali kutoka kwa wakuu wa nchi,wakuu wa jeshi la polisi n.k

Jeshi la polisi mikoani kote wameonekana wakifanya mazoezi ya haki ya juu kuliko ilivyo kawaida ,tena kwenye viwanja vya wazi na kwenye makazi ya watu,ilikuwa ni kawaida kusikia milindimo ya mabomu na risasi mitaani mithili ya nchi yenye mapigano.
Lakini pia kumekuwa na matamko mbalimbali kutoka kwa wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya mbalimbali.
Mfano mzuri ni pale RC Makonda alipojitokeza hadharani na kuikanyaga katiba kwa vitisho ambavyo kama wapinzani nao wasingekuwa na busara hakika usalama wa wananchi ingekuwa hatarini.

*Kwakuwa watu walijipanga na walikuwa tayari kwa lolote na serikali ilijiandaa kutumia dola kudhibiti maandamano hayo kwa namna yoyote* ,hakika wengi wetu tungepoteza maisha na kuacha familia zikihangaika ,lakini yote haya yangetokea kwa faida ya kizazi kijacho.

*Busara za viongozi wa CHADEMA zimeonekana baada ya viongozi wa dini kupitia jumuia zao,viongozi wakuu waliostaafu,vituo vya haki za binadamu na mashirika yasiyo ya serikali yanayotetea haki za binadam kuwaomba kusitishs maandamano hayo ili waweze kuutatua mgogoro huo kwa njia ya mazungumzo ,kwa weledi mkubwa ,kwa fikra pana viongozi wa CHADEMA wameonesha busara zao zilizotukuka na kuwatuliza wafuasi wao na hakika swala hili limepokelewa na wanachama vizuri kabisa.*

Wajinga watasema CHADEMA imeiogopa serikali,Welevu wataalewa umuhimu wa busara za viongozi hawa wa CHADEMA katika kuutatua mgogoro huu wa kisiasa ambao unaweza kuiyumbisha nchi yetu kiuchumi.

Hakuna asiyejua madhara yanayoweza kujitokeza kwenye mgogoro wa kisiasa na *katika hili kamati kuu ya CHADEMA,wanapaswa kupongezwa kwa maamuzi haya mazuri na ya busara.*

*Ikumbukwe tr 1 September 2016 ni siku ambayo jeshi letu linaazimisha siku yao ,na wataazimisha kwa kufanya usafi hivyo kwa busara za viongozi wa CHADEMA jeshi letu litapata fursa ya kufanya usafi na kuadhimisha siku yao bila bugudha na naamin watatumia pia siku hiyo kumshauri Mh Rais kusikiliza kilio cha watanzania ,wanaomtaka aongoze nchi hii kwa kufuata katiba*.

Busara hizi za viongozi wa CHADEMA ni kete nzuri sana kuwafanya wananchi kuelewa kwa undani UKUTA,kuielewa serikali yao kwa mapana,na kupembua kwa kina kujua undani wa ni nani kati ya serikali na upinzani wanaopenda Amani? Au wanaovuruga Amani

Busara hizi zinawapa fursa waumin wote wanaoamini katika maridhiano kutafuta haki au kutatua mgogoro wa kisiasa kutafakari kwa kina.

*Ikiwa serikali itashindwa kuumaliza mgogoro huu kwa kukaa meza moja na upinzani basi wafuasi wa maandano yatakapotangazwa tena watakuwa wengi sana Mara tatu zaidi ya sasa*
Nawahakikishia huu ni mwanzo mzuri wa safari ya safari ya kuisaka haki

Viva CHADEMA, Viva viongozi wote

Mfano wa mfalme Suleman hauingii hapo hata kidogo, unafikiri nani angeweza kujitokeza na kuandamana?
Wakati Lisu anatoa taarifa ya ukweli kuwa lupango ni balaa yaani atamani kurudishwa tena na Godbless Lema pia naye kaacha kituko alipowakimbia polisi wasimrudishe lupango anasema wanataka kumuua.
Kama hao viongozi wanakimbia mapambano tena wana pokea mishahara na posho je sisi raia wa kawaida tukaumie bure TOBA tumeshituka.
Na tar. 1 oct cyo mbali kwann tuandikie wino wakati mate tunayo tutasema.
 
*HIZI NI BUSARA ZILIZOTUKUKA*

Na Kilawa the Iron

Hekima na busara za viongozi wa CHADEMA zinafanana sana na zile za mfalme Suleiman ambazo tumejifunza katika vitabu vitakatifu .
Pamoja na serikali yetu kuwanyanyasa wapinzani hawa kwa kuwakamata,hata kuwapiga wafuasi na viongozi wa chadema pia kuwafungulia kesi mbalimbali zisizo na kichwa wala miguu lakini wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha haki za wananchi zinapatika kwa wakati. Demokrasia inarudi mahali pake

Viongozi wa chadema walitangaza kufanya maandamano na mikutano nchi nzima kupinga udikteta September mosi 2016,
*operation hii ilipewa jina maarufu sana UKUTA lililoshika kasi kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vyote vya habari.*
Mjini na vijijini kote wananchi walijiandaa kushiriki maandamano haya kama ilivyopangwa.

*UKUTA yenye maana ya UMOJA WA KUPINGA UDIKTETA TANZANIA imekuwa na mafanikio makubwa hata kabla ya Tr 1September* ,na hii imejidhihirisha pale watawala walipoamua kulinoa jeshi la polisi kumbana na viongozi wa chama,wafuasi na wapenda demokrasia wote.,tumeona matamko mbalimbali kutoka kwa wakuu wa nchi,wakuu wa jeshi la polisi n.k

Jeshi la polisi mikoani kote wameonekana wakifanya mazoezi ya haki ya juu kuliko ilivyo kawaida ,tena kwenye viwanja vya wazi na kwenye makazi ya watu,ilikuwa ni kawaida kusikia milindimo ya mabomu na risasi mitaani mithili ya nchi yenye mapigano.
Lakini pia kumekuwa na matamko mbalimbali kutoka kwa wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya mbalimbali.
Mfano mzuri ni pale RC Makonda alipojitokeza hadharani na kuikanyaga katiba kwa vitisho ambavyo kama wapinzani nao wasingekuwa na busara hakika usalama wa wananchi ingekuwa hatarini.

*Kwakuwa watu walijipanga na walikuwa tayari kwa lolote na serikali ilijiandaa kutumia dola kudhibiti maandamano hayo kwa namna yoyote* ,hakika wengi wetu tungepoteza maisha na kuacha familia zikihangaika ,lakini yote haya yangetokea kwa faida ya kizazi kijacho.

*Busara za viongozi wa CHADEMA zimeonekana baada ya viongozi wa dini kupitia jumuia zao,viongozi wakuu waliostaafu,vituo vya haki za binadamu na mashirika yasiyo ya serikali yanayotetea haki za binadam kuwaomba kusitishs maandamano hayo ili waweze kuutatua mgogoro huo kwa njia ya mazungumzo ,kwa weledi mkubwa ,kwa fikra pana viongozi wa CHADEMA wameonesha busara zao zilizotukuka na kuwatuliza wafuasi wao na hakika swala hili limepokelewa na wanachama vizuri kabisa.*

Wajinga watasema CHADEMA imeiogopa serikali,Welevu wataalewa umuhimu wa busara za viongozi hawa wa CHADEMA katika kuutatua mgogoro huu wa kisiasa ambao unaweza kuiyumbisha nchi yetu kiuchumi.

Hakuna asiyejua madhara yanayoweza kujitokeza kwenye mgogoro wa kisiasa na *katika hili kamati kuu ya CHADEMA,wanapaswa kupongezwa kwa maamuzi haya mazuri na ya busara.*

*Ikumbukwe tr 1 September 2016 ni siku ambayo jeshi letu linaazimisha siku yao ,na wataazimisha kwa kufanya usafi hivyo kwa busara za viongozi wa CHADEMA jeshi letu litapata fursa ya kufanya usafi na kuadhimisha siku yao bila bugudha na naamin watatumia pia siku hiyo kumshauri Mh Rais kusikiliza kilio cha watanzania ,wanaomtaka aongoze nchi hii kwa kufuata katiba*.

Busara hizi za viongozi wa CHADEMA ni kete nzuri sana kuwafanya wananchi kuelewa kwa undani UKUTA,kuielewa serikali yao kwa mapana,na kupembua kwa kina kujua undani wa ni nani kati ya serikali na upinzani wanaopenda Amani? Au wanaovuruga Amani

Busara hizi zinawapa fursa waumin wote wanaoamini katika maridhiano kutafuta haki au kutatua mgogoro wa kisiasa kutafakari kwa kina.

*Ikiwa serikali itashindwa kuumaliza mgogoro huu kwa kukaa meza moja na upinzani basi wafuasi wa maandano yatakapotangazwa tena watakuwa wengi sana Mara tatu zaidi ya sasa*
Nawahakikishia huu ni mwanzo mzuri wa safari ya safari ya kuisaka haki

Viva CHADEMA, Viva viongozi wote

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
___________________________________________________
20

Uhuru wa mtu kushirikiana na wengine Sheria ya 1984 Na.14 ib.6
20.-(1) Kila mtu anastahili kuwa huru, bila ya kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani, na hasa zaidi kuanzisha au kujiunga na vyama au mashirika yaliyoanzishwa kwa madhumuni ya kuhifadhi au kuendeleza imani au maslahi yake au maslahi mengineyo.

(2) Bila ya kujali masharti ya ibara ndogo ya (1) haitakuwa halali kwa chombo chochote cha siasa kuandikishwa ambacho kutokana na Katiba au sera yake-
(a) kinakusudia kukuza au kupigania maslahi ya-
(i) imani au kundi lolote la dini;
(ii) kundi lolote la kikabila pahala watu watokeapo, rangi au jinsia;
(iii) eneo fulani tu katika sehemu yoyote ya Jamhuri ya Muungano;
(b) kinapigania kuvunjwa kwa Jamhuri ya Muungano:
(c) kinakubali au kupigania matumizi ya nguvu au mapambano kama njia za kufikia malengo yake ya kisiasa;
(d) kinapigania au kinakusudia kuendesha shughuli zake za kisiasa katika sehemu moja tu ya Jamhuri ya Muungano;
(e) hakiruhusu uongozi wake kuchaguliwa kwa vipindi na kwa njia za kidemokrasia.

(3) Bunge laweza kutunga sheria inayoweka masharti yatakayohakikisha kuwa vyama vya siasa vinazingatia mipaka na vigezo vilivyowekwa na masharti ya ibara ndogo ya (2) kuhusu uhuru na haki ya watu kushirikiana na kujumuika.

(4) Bila ya kuathiri sheria za nchi zinazohusika ni marufuku kwa mtu yeyote kulazimishwa kujiunga na chama chochote au shirika lolote, au kwa chama chochote au cha siasa kukataliwa kusajiliwa kwa sababu tu ya itikadi au falsafa.
 
Back
Top Bottom