Recent content by alex50

  1. A

    JamiiForums Tanzania Meya Boniface: Jinsi nilivyonusurika na kutoka kizuizini Uwanja wa JNIA baada ya saa 3

    Meya si muajiriwa wa serikali. Meya ni Diwani. Halipwi mshahara. Analipwa posho ya vikao kama madiwani wengine.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa PAC umethibitisha udhaifu wa Bunge, Lugola na Mpango mpo exit door

    Kwani Zitto Kabwe ni sehemu ya serikali mpaka azuiwe kimaadili kuzungumzia/kuisifia/kuiponda ripoti ya CAG?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali yadaiwa kumvua uraia Padri wa Kanisa Katoliki

    T Sent using Jamii Forums mobile app
  4. A

    JamiiForums Tanzania Haya maelezo ni uongo juu ya A220-300

    Hivi hio Airbus imenunuliwa kwa shs ngapi
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ujanja janja kwenye korosho ni kumuumiza mkulima

    Mwaka unakatika. Tupe maendeleo ya ununuzu wa korosho.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kama balozi atakaa miezi sita bila kuleta ripoti ya alichokifanya ntamtumbua

    Kama RPC ni wa mkoa wa kipolisi basi boss wake anakuwa DC wa wilaya. Mfano RPC kinondoni anakuwa chini ya DC kinondoni
  7. A

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

    Lamba eneo la ngozi baada ya kiganja. Baada ya sekunde 5 panuse. Harufu utakayoisikia ndio wanayosikia wenzio ukiongea nao kwa ukaribu. Cku njema.
  8. A

    JamiiForums Tanzania TANZIA: K. R. Chaudri head master wa Popatlal sekondari amefariki

    Ungeweka na miaka aliyohudumu kama Headmaster ingependeza
  9. A

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    Kwani wewe ni kabila gani? Mhaya?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya kiingereza: "Somehow" na "Somewhat"

    Upo sahihi. Watu wanapindisha lugha kwa kutokujua wasemacho.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kilimo cha Azolla

    Natumia kwenye mifugo yangu
Back
Top Bottom