kwenda21
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,422
- 3,392
Wanakuingizia bomba HUKU nyumaAii wewe bomba lawapi fafanua kidogo
Wanakuingizia bomba HUKU nyumaAii wewe bomba lawapi fafanua kidogo
Sasa huyo kasema anatoa harufu ya mdomo iweje bomba liingizwe nyuma au taaluma mpya!Wanakuingizia bomba HUKU nyuma
Huenda ni vyakula vilivyotumboni, mmengenyo wake wa msosi hauko sawaSasa huyo kasema anatoa harufu ya mdomo iweje bomba liingizwe nyuma au taaluma mpya!
hii sayansi duh hapana aiseeTatizo laweza kuwa sio kinywa tatizo linaweza kuanzia tumboni unakojaza vyakula visivyosagika kirahisi na matokeo yake vinaoza na kushindwa kutoka kwa njia ya haja kubwa hivyo unabaki kutembea na choo tumboni na harufu kutokea kinywani.
Kama unakula vyakula vigumu kusagika tumboni kama nyama na vyakula vyenye gesi nk.tafadhali acha sasa fanya hivi asubuhi kunywa maji ya uvuguvugu halafu ufanye mazoezi kidogo hata ya kuruka kamba baada ya muda utapata choo na mchana kula chakula chepesi na usiku baada ya muda hilo tatizo litaisha.
Pia nyama ngumu zinazonasa kwenye meno sometimes zinaoza na kusababisha hiyo shida possibly matatizo chanzo chake kinasababishwa na hayo mambo mawili.
hii sayansi duh hapana aisee
Pole sana, Sugua kinywa chako vizuri na pia usugue ulimi ipasavyo.Ni tatizo ambalo linaninyima amani jaman kwa anaefaamu dawa ya kuzuia kabisa tusaidiane
Wakati mwingine hilo tatizo husababishwa na tatizo la kutopata choo ipasavyo. Kunywa maji mengi ili kufanya mmeng'enyo wa chakula uwe rahisi na kuondoa tatizo la constipation, utapunguza au kuondoa kabisa tatizo lako.Ni tatizo ambalo linaninyima amani jaman kwa anaefaamu dawa ya kuzuia kabisa tusaidiane
Ngoja kwanza. ID yako ya muda wote ni nani? Hii tabia ya kufungua ID mpya ina maana gani wakati hakuna anayekujua humu?Ni tatizo linalonisumbua kwa mda mrefu hadi nakosa Amani naomba msaada nifaamu dawa
mkuu alipona kabisa huo ugonjwa wa mdomo?? Hilo tatizo halikurud tena baada ya mda ?Ndugu asante sana kwa ushauri wako japo ulikaa. Kijuujuu sana lakin umrnsaidia sana, ni jana nlienda duka la dawa nkanunua ant fungle moja inaitwa oromucoral gel ametimia asubuh kufika chana imepungua akatumia jioni yani leo asubuh anapumua hewa saafi kabisa yani jadi nimeshangaa kumbe kweli yalikuwa ma fungus. Kinywa saaaafi,
wacha nijijibu maana hata sikumbuki kama nilijibu kwa usahihi namna hio miala 3 iliyopita.......harufu hii hutokea tumboni direct atasugua mafizi wee mpaka atachoka....je wajua wapo watu wanaojamba kupitia midomo yao?soln.......