Recent content by Alex2012

  1. A

    Huyu ndo mmiliki wa home shopping centre aliyemwagiwa tindikali

    Hi Kuwa mwazi zaidi; Unasema amefanya mabaya - yapi??? Tupe data. Nadhani ifike mahali mtu tu capitalize mazuri ya mtu badala ya kungangania tu yale mabaya ku mdefine
  2. A

    MGIMWA: Kodi ya simu kutobadilika

    Hii haikubaliki. Kuna maeneo mengi ya vyanzo vya kodi lakini inaonekana wanaangalia vyanzo rahisi kwa sababu wanajua ni lazima watu watatumia simu. Isitoshe kampuni zinalipa kodi sasa ni kwa nini tena watumiaji wa huduma wanadaiwa.Bei ya operator tayari imejumuisha extra costs?? Ni sawa na...
  3. A

    Amekunywa Sumu baada ya kumwambia Mahusiano Basi

    naona ujatoa maelezo ya kutosha kuhusu hilo suala la kunywa sumu. Eleza hasa chanzo cha tatizokwa undani. Naona kuna taarifa zaidi ya statement hiyo??
  4. A

    Waziri wa ardhi atangaza Kigamboni kuwa mji mpya na wenye serikali yake!

    Refund kwawanaohamishwa ingekuwa vizuri ziwe halisia.
  5. A

    Lema asitisha wanafunzi kuendelea kusoma Korona Sec

    Nadhani kwa kuanzia hiyo ni hatua nzuri lakini next; watoro waende wapi wakati muda wa shule unaendelea. Je fedha zao walizolipa ambazo hazijatumika watazipataje ili wakaanze upya mahali pengine?? Je waliosababisha haya wawajibishwe vipi (au hawalipwi mshahara?. Please find out) ???? Zaidi ya...
  6. A

    Gambia's public sector to have 4-day working week!

    Yes naona kuna logic. Kwa kufanya kazi kwa siku 4 kwa wiki tangu saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni Nisawa na tunaofanya siku 5 kwa wiki tangu saa 2 hadi saa 9.30. Masaa ni yaleyale. Nothing strange
  7. A

    Gambia's public sector to have 4-day working week!

    Yes naona kuna logic. Kwa kufanya kazi kwa siku 4 kwa wiki tangu saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni Nisawa na tunaofanya siku 5 kwa wiki tangu saa 2 hadi saa 9.30. Masaa ni yaleyale. Nothing strange
  8. A

    Kunguni,chawa na mbu hospital ya mkoa Dodoma

    Makampuni ya Pest control hakuna au fedha hakuna au dawa feki??? Kuna haja ya kufuatilia mahospitali yote nchini kwa ajili ya kuondokana na tatizo hili.Tunaweza kuwaongezea wagonjwa matatizo zaidi ya waliyokuja nayo hospitalini.
  9. A

    ATC plane makes emergency landing in Kigoma due to cracked windscreen

    Content is what matters. Achana na kiingereza.Kwani hukuelewa???
  10. A

    ATC plane makes emergency landing in Kigoma due to cracked windscreen

    Kuwa na chombo cha taifa (National flag) ni muhimu. Naona serikali ijaribu kulipa hili priority ili ATC akae katika hali nzuri na anunue ndege za kutosha. Inashangaza private firms zinakuwa more successful than National flag??? Au ???
  11. A

    Godbles Lema mbunge wetu tunakuomba shunghulikia kero hii.

    Kero ni zaidi ya kudai fee siku kuu. Hapa Arusha kuna packing fee ya city, ukienda sokoni unakuta kampuni nyingine wanadai ya sokoni, ukienda central bus stand kuna fee nyingine nk nk. How comes gari moja linalipiwa mara nne kwa siku moja. Hii ni kero. We eed solution
Back
Top Bottom