mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,477
Eti wach....aji wa jf 90% ni Chadema
Mkuu K.Msese, "eti" ni kitangulizi cha ishara ya ama "not sure" yaani huna uhakika, au "don't belive!", yaani huamini!.
Kwa mujibu wa ile "eti" yangu kule, kwa vile taarifa hizo nimezisikia kutoka source isiyo na uhakika, then zilipandishwa kwa kuitwa ji "tetesi", ukakika au uthibitisho ukishapatikana, neno tetesi huondolewa na "eti" pia huondoka!.
P.
Jamani, msimlaumu sana, kikubwa mada aliyotoa ijadiliwe. Kama kikao kilikuwepo, na kama inadhaniwa bahasha za kaki zilitembea, mbona hata gazeti la Tanzania Daima hail kuandika?! Au nao wameshatiwa mfukoni na Nape?!tutajuaje kama waandishi hao hao hawakuitwa kwa mlango wa nyuma na Nape wakapewa bahasha za khaki ili wasitoe tamko la Chadema! maana uandishi wa habari wa digitali unajali nani anatoa fungu ili habari ziandikwe au zisiandikwe na zikiandikwa ziandikwe kwa uelekeo upi! hakunaga kama 'Mwanahalisi'!
halafu wewe na hizo 'eti' zako hatuzitaki. leta uzi uliokamilika. usituletee ushushushu wako humu JF!
Mkuu Mizambwa, kwa mujibu wa sheria za jf, huruhusiwi kumfananisha member yoyoye na member mwingine yoyote hata kama wanashabihiana kwa kiasi gani!. Hili ni kosa linaitwa "name calling" na adhabu yake ni ban!.
Pasco.
Pasco, usijitie kuwatisha watu kwa kujifanya unakimbilia sheria/kanuni za JF. Umejiumbua mwenyewe na Mizambwa yeye kapiga mistari kauli zako mbili-kwa ID tofauti zikirejea kitu kimoja. Wewe ndiye Nyamogota.
Katika uzi huu, eti ya kwanza inatolewa na ID ya Nyamigota. Anaposhambuliwa na K.Msese juu ya matumizi ya eti, wewe unaibuka na kutetea. Humtetei Nyamigota kama nafsi ya tatu bali unamtetea kama nafsi ya kwanza. Angalia kauli yako...
"Kwa mujibu wa ile "eti" yangu kule, kwa vile taarifa hizo nimezisikia kutoka source isiyo na uhakika,"
Tuambie wapi katika uzi huu wewe ulitumia 'eti' ikiwa wewe ni mtu wa pili kuchangia na pakiwa na tofauti ya dakika 28 toka mtoa (muanzisha) mada kuiweka? Vinginevyo leo nitajua nitajua Kitabu cha SARUFI na FASIHI cha Fr Nkwera hakikuwa na msaada kwangu zama zile nikisoma Kiswahili darasani.
Shukrani Mkuu Mizambwa, umeona vema. Pasco ndiye Nyamigota hawezi kukana kama ni muungwana. Ila kwa jinsi alivyombishi, bado atakuja na kuendelea kubisha.

Kauli za kipumbavu kama hizi kutoka kwa mpumbavu kama wewe, ndio ziliwafanya Wapiga kura wa Lindi mjini wamchaguwe Mbunge Albino wa CUF na kumpiga chini wa CCM ili waone kama atashindwa kuwawakilisha bungeni.cdm matamko kila kukicha na mwendelezo wake huwa haufahamiki kisayansi mtu akipata ulemavu akili yake inakuwa sio pure .mfano dk slaa
hahahahahaa usimtishie mwenzio bana wewe jibu hoja yake... maana ulijichanganya mwenyewe kwa kutetea hiyo ETI ukionesha kuwa wewe ndio mwanzilishi wa hii threadMkuu Mizambwa, kwa mujibu wa sheria za jf, huruhusiwi kumfananisha member yoyoye na member mwingine yoyote hata kama wanashabihiana kwa kiasi gani!. Hili ni kosa linaitwa "name calling" na adhabu yake ni ban!.
Pasco.
Asante sana Mkuu Mnyamahodzo
huyu Pasco analeta ujanja kukataa hata KIVULI chake au PICHA yake mwenyewe. Umempa ufafanuzi mzuri sana. asitake kukataa hizi ID ni za mtu mmoja.
Amejifunga mwenyewe. Ujanja Kwishnei!!!!!!!!!!!!
Humu ndani Pasco ana ID nyingi sana kila mara anakja na majina tofauti.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Asante sana Mkuu Mnyamahodzo
huyu Pasco analeta ujanja kukataa hata KIVULI chake au PICHA yake mwenyewe. Umempa ufafanuzi mzuri sana. asitake kukataa hizi ID ni za mtu mmoja.
Amejifunga mwenyewe. Ujanja Kwishnei!!!!!!!!!!!!
Humu ndani Pasco ana ID nyingi sana kila mara anakja na majina tofauti.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Pasco, usijitie kuwatisha watu kwa kujifanya unakimbilia sheria/kanuni za JF. Umejiumbua mwenyewe na Mizambwa yeye kapiga mistari kauli zako mbili-kwa ID tofauti zikirejea kitu kimoja. Wewe ndiye Nyamogota.
Katika uzi huu, eti ya kwanza inatolewa na ID ya Nyamigota. Anaposhambuliwa na K.Msese juu ya matumizi ya eti, wewe unaibuka na kutetea. Humtetei Nyamigota kama nafsi ya tatu bali unamtetea kama nafsi ya kwanza. Angalia kauli yako...
"Kwa mujibu wa ile "eti" yangu kule, kwa vile taarifa hizo nimezisikia kutoka source isiyo na uhakika,"
Tuambie wapi katika uzi huu wewe ulitumia 'eti' ikiwa wewe ni mtu wa pili kuchangia na pakiwa na tofauti ya dakika 28 toka mtoa (muanzisha) mada kuiweka? Vinginevyo leo nitajua nitajua Kitabu cha SARUFI na FASIHI cha Fr Nkwera hakikuwa na msaada kwangu zama zile nikisoma Kiswahili darasani.
Shukrani Mkuu Mizambwa, umeona vema. Pasco ndiye Nyamigota hawezi kukana kama ni muungwana. Ila kwa jinsi alivyombishi, bado atakuja na kuendelea kubisha.
kwani mwanahalisi limefunguliwa?Wadau, jana kulikuwa na mbwembwe nyingi sana eti waandishi wa habari waliitwa kwenda makao makuu ya CHADEMA kwenda kusikiliza tamko la Sekretarieti ya CHADEMA.
Katika fuatilia yangu kwenye vyombo vya habari, yaani channel zote za taarifa ya habari jana usiku sikuona tamko lolote, leo pia katika kusikiliza magazeti RFA asubuhi hii pia sijasikia kabisa tamko hilo. Je waandishi wa habari hawakupewa posho ya kutoa habari kama walivyozoweshwa na CCM?
Naomba kuwasilisha!
Yaishe basi jamani.
Mtu mzima kateleza hapo! Kwani nyie hamjawahi kusikia msemo usemao Njia ya mwongo ni fupi?
Na huo ni mwanzo tu,yanafuata mengi zaidi.Just relax guys.