Recent content by Alarm

  1. Alarm

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Magazeti hayo ni ya tarehe ngap mkuu?
  2. Alarm

    NATAFUTA SEHEMU YA KUFANYIA FIELD MUSOMA

    Ahsante mkuu ngoja nijaribu nione km ntafankixha.
  3. Alarm

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Je, wasio na elimu ya juu ni sh.ngap? maana utakuwa unajua kama umeanza kuulizia mishahara ya wale walio na elimu ya juu.
  4. Alarm

    NATAFUTA SEHEMU YA KUFANYIA FIELD MUSOMA

    Msaada tafadhali wanajf ninahitimu mwezi wa 11, mafunzo ya ICT.Ninaomba mwenye kujua nafasi ya kufanyia field Mjini Musoma naombeni msaada tafadhali ndugu zang wanajf.
  5. Alarm

    Binafsi napenda CCM kifutwe?

    Headline yako mbona ina ukakasi unauliza au unatoa maoni[emoji57] [emoji57]
  6. Alarm

    Nimeitwa Interview sehemu mbili muda mmoja

    Ni interview gani na ni course gani ulisomea kuwa muwazi ushauliwe ndg.
  7. Alarm

    Tunavunja historia nusu ya kwanza bila kufungwa

    Hahaaahaa utani wa jadi bwana duh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]
  8. Alarm

    Haya mauaji mkoa wa Mara nani muhusika?

    Mkuu mlejesho wap sasa?
  9. Alarm

    Wizi wa pikipiki Bunda Mara

    Sh.ngap zinauzwa hizo chip mkuu?
  10. Alarm

    Maswali yangu niliyompa mwandishi wa habari amuulize Raisi sikusikia hata moja

    Tehetehteh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  11. Alarm

    Haya mauaji mkoa wa Mara nani muhusika?

    Haswa kweli kesho ukizipata hizo data tujuze kwani vitendo vinatutia hofu watz au cio mkuu.
  12. Alarm

    Haya mauaji mkoa wa Mara nani muhusika?

    Leo radio one taarifa ya habari SAA 2 imeripotiwa kuwa jumla ya watu 6 wameuawa. Hivi kweli kwa kitendo hicho muhusika aweza kuwa nani ndugu wanajf na watanzania mbona tumeanza kuondokewa na hofu M/Mungu?.
  13. Alarm

    Mganga wa Simba Sports Club baada ya kufukuzwa kazi...

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Back
Top Bottom