Ata mimi nimeisikia hiyo habari...ikiwemo ya mtoto kubakwa hadi kufa..Uzuri nipo karibu na hicho kijiji kesho nitaenda kuchukua information...usihofu
Huko Mara wamezoea kuuana kila siku na iko damuni kuua kwao ni jambo lakawaida
Usihofu hayo yawezekana ni ya kulipana visasi au zulmaMambo ya ajabu kabisa huko Mara, yanaumiza moyo, watu wa huko kama wanyama..? mbaya zaidi sio tukio moja au mawili, ni mfululizo.. hawa ni watu au.. na matukio ya kutisha kabisa..
Siyo kwamba iko damuni sema hasira na visasi vya muda mrefuHuko Mara wamezoea kuuana kila siku na iko damuni kuua kwao ni jambo lakawaida
Mtoto wa la saba kamchanganya msagajiKUHUSU BINTI WA DARASA LA SABA KUBAKWA NA KUUAWA.::....Hilo suala lilikuwa hivi ..Huyo binti (jina) alikuwa na mahusiano na kijana mmoja (jina) aliyekuwa anajihusisha na shughuli za kusaga na kukoboa nafaka ndani ya hicho kijiji (Rwamkoma) ...Siku ya tukio inasemekana kijana (msagaji)..„Alikuwa amemuhisia vibaya binti kuwa anamchepuko mtaani hapo hivyo alimuita ili amuulize kupata uhakika...lakini ikatokea kupishana kauli na wakaanza kukoromeana ndipo kijana msagaji alipoamua kuchukua uamuzi huo wa KUMPIGA HADI KUMUUA BINTI NA YEYE KUTOKA KWENYE ENEO LA TUKIO KWENDA KUJITOSA KISIMANI NA KUJIUA PIA ....all in all ni mapenzi....Hilo ni kulingana na story za hapa kijijini (Butiama) maana mimi nilibanwa na majukumu ya kikazi ndo maana nilishindwa kwenda kwao hao vijana (Rwamkoma)..ndo maana sikufanikiwa kuyapata majina yao....
Yap..ndivyo inasemekana tena walianza muda mrefu tu (kulingana na taarifa)Mtoto wa la saba kamchanganya msagaji