Hahaaahaa utani wa jadi bwana duh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]Wana msimbazi nawapa pole siku zote ndege mjanja hunasa kwenye tudu bovu.![]()
Bi HinduNimevutiwa na hizo bastola zake nadhani sio mchina huyo atakuwa amerithi hizo sijui kwa bibi yake wa upande gani!
Usizitizame kwa woga zimekaa uzuri.Bi Hindu