Recent content by al1983

  1. al1983

    Gari Inavuma kuanzia speed ya 80, Msaada wana JF

    Mara nyingi mvumo husababishwa na gari kukatalia kwenye gear wakati RPM inahitaji gear kubadilika. Sasa huenda bearing ulizobadili hazikuwa nzuri hivyo jaribu kubadili mfumo mzima wa miguu ya mbele yaani hub za pande zote mbili. Pia angalia gearbox oil kama ulibadili na ukaweka ambayo siyo...
  2. al1983

    GE2020 VIDEO: Wachambuzi wa siasa Kenya washangazwa na muundo wa uchaguzi wa Tanzania, wasema walitoka huko kitambo sana

    Yaani wao wana mambo chungu nzima, yamewashinda ya kwao wanatafuta ya jirani !!!! Hawa inabidi tuwavalishe kanga moko
  3. al1983

    My Ex Wife anateseka sana, nifanyeje?

    "Wema ndiyo uliomponza" Alisikika mama mmoja akisema maneno hayo. Kaa utulie yasijekukukuta usiyoyastahili. Kama mwenyewe hajaona haja ya kuondoka kwenye vipigo na manyanyaso, wewe unataka kumuondoa huko ili iweje????????
  4. al1983

    Bado natafuta mantiki ya kujenga hili Daraja la Kigongo - Busisi kwa Tshs. Bilioni 700

    Unasumbuliwa na wivu na choyo. Na usipobadilika vitu hivyo viwili vitakupa shida sana.
  5. al1983

    Sipendi hii hali baada ya kula Mzigo. Je, na kwa upande wenu Ndivyo ilivyo?

    Inaonekana unapenda sana kuloweka na kwenda uvinza. Wavaa kondomu huwa wanabaki na shombo ya mafuta ya kondomu, napo ni kwa muda tu maana akishaoga kila kitu kwishney. Sasa hiyo tabia yako ya peku peku itakuponza.
  6. al1983

    Mapenzi ni pasua kichwa. Siamini

    Mdogo wangu ulifanya kosa kubwa sana. Kumsamehe haikuwa tatizo bali kurejesha uhusiano wa kingono ndipo ulipobugi. Sasa huna namna pambana na udhaifu wa maamuzi yako.
  7. al1983

    Mapenzi ni nini?

    Hao wanateswa na WIVU. Hata siku moja hakuna anayeteswa na mapenzi.
  8. al1983

    Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

    Akili zao zipo kwenye sura zao ni kama wadada wenye makalio makubwa ambao akili zao zipo kwenye makalio. Kwa namna hiyo maarifa ya kutafuta pesa ni zero
  9. al1983

    Mapenzi ni nini?

    Mapenzi ni hisia baina ya mtu na mtu, mtu na kitu au mtu na hali. Hisia hizo huongozwa na nguvu zisizoonekana kwa macho ambazo huvuta au huvutana na kukamilisha jambo ambalo muhusika hutulizwa au kupendezwa nalo. Kwa tafasiri isiyo sahihi, wengi wanatafasiri mapenzi kama tendo la kujamiiana...
  10. al1983

    Mke wa mtu ananiomba niigize kama jamaa yake

    Ni sawa na kujaribu kunywa sumu, eti uone inafanyaje kazi. Usijaribu kabisa huo mchezo, utajuta au familia yako watashikwa na butwaa na mshangao wa kimataifa.
  11. al1983

    Eti jamani urembo wa mwanamke unachangia kunogesha tendo?

    Kwenye kugegeda cha muhimu ni hisia, huo urembo hauhusiki kabisa. Urembo unaishia huko kwenye outing, chumbani tunashughulika na hisia tu
  12. al1983

    Picha :Chadema Mungu anawaona

    Ngoma droo, tusonge mbele
  13. al1983

    Total yafikia makubaliano na Uganda, yakaribia kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kupitia Tanzania

    Good news for East Africans. no matter what, the whole east africa will benefit from this project.
Back
Top Bottom