Sipendi hii hali baada ya kula Mzigo. Je, na kwa upande wenu Ndivyo ilivyo?

Ok, umenifurahisha tu na hiyo addiction ya harufu ya naniuu
Wengine sio wawazi tu ila inamsisimko fulani kwa baadhi ya wanaume,hujawahi kuona beberu linavyoashikia hadi kama liunywe mkojo wa mbuzi jike?Hata madume ya mbwa hujaa mtaani wakivutiwa na harufu ya K ya jike aliye kwenye joto,sio kitu cha kupinga wakuu.
 
Huyo unaemtaarifu anamjua beberu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu mkojo wa broun ni UTI na kunuka k au shombo ni uchafu wa mwanamkeee pia ajitawazi vizuri
 
Habari wadau.

Maada yenyewe leo nashare na ninyi adha fulani niiptayo kabla ya Kudo. (Angalizo hii imekuwa ikijitokeza kwa kila mwanamke naekutana nae toka nianze kubarehe)

a) Kubaki na Harufu/ Shombo ya K kwa takribani siku nzima.

Wadau, mimi kila nimalizapo kudu na mwanamke yeyote Shombo ya K hunibakia. Nikikojoa mkoja unatoka wa kahawia huku ukiwa na Shombo Shombo ya K. Hii inaweza kudumu kwa takribani siku nzima.

Hii situation naweza kufananisha na mtu aliyekunywa Pombe jinsi anavokojoa mkojo wenye harufu ya harufu ya pombe aliyokunywa. (Wanaokunywa watakuwa wananielewa)

Ukiachana na mkojo kuwa na harufu ya K, bado Uume wote na mazingira yake yote hubakia na Shombo ya K. Na hii si kwamba eti makubwa nimekutana na mwanamke mwenye maji mengi la hasha hata nimpate mwenye K Mnato still hali iko ivo ivo.

Hata nikiona na kujisugua niaje bado Shombo hunukia tu. Hapa nilipo jana nimepita mzigo mpaka leo hasubuhi nimekojoa mkojo wenye harufu kwa mbali ya K na mazingira ya uume ( mapaja, uume wenyewe, mapumbu nk kote kuna kaharufu fulani ka K.

B) Mapaja kuuma

Ndugu wadau, hili nalo ni tatizo lingine Aisee. Si jana nimepiga mzigo, basi mapaja yanauma balaa. Tumbo sehemu ya kitovu kunauma kwa mbali.

Si kwamba sipigi mazoezi, lahasha, mimi napiga jogging na Football kiasi.

Sasa najiuliza ni kawaida? Maana ni kweli K nitamu Tena sana lakini kwa hizi consequences, ni balaa.

Hapa najiuliza je nikijua kuoa si nitakuwa si chepuki kwa hali hii. Maana mke lazima ashitukie tuu endapo akinigundua.
Inaonekana unapenda sana kuloweka na kwenda uvinza. Wavaa kondomu huwa wanabaki na shombo ya mafuta ya kondomu, napo ni kwa muda tu maana akishaoga kila kitu kwishney. Sasa hiyo tabia yako ya peku peku itakuponza.
 
mi nna kinyaa sana kitu kimepelekea huwa sipizi ndan labda km nimeamua siendelei na la pili!!yaani huwa naona bora niibane tuu ht niskojoe maana zile rangi nyeupe km povu la sabun huwa naskia kinyaa na kuhis kutapika kbs
 
Phantosmia, It can cause you to smell something that isn't there, or rather, a neutral smell becomes unpleasant.
 
Habari wadau.

Maada yenyewe leo nashare na ninyi adha fulani niiptayo kabla ya Kudo. (Angalizo hii imekuwa ikijitokeza kwa kila mwanamke naekutana nae toka nianze kubarehe)

a) Kubaki na Harufu/ Shombo ya K kwa takribani siku nzima.

Wadau, mimi kila nimalizapo kudu na mwanamke yeyote Shombo ya K hunibakia. Nikikojoa mkoja unatoka wa kahawia huku ukiwa na Shombo Shombo ya K. Hii inaweza kudumu kwa takribani siku nzima.

Hii situation naweza kufananisha na mtu aliyekunywa Pombe jinsi anavokojoa mkojo wenye harufu ya harufu ya pombe aliyokunywa. (Wanaokunywa watakuwa wananielewa)

Ukiachana na mkojo kuwa na harufu ya K, bado Uume wote na mazingira yake yote hubakia na Shombo ya K. Na hii si kwamba eti makubwa nimekutana na mwanamke mwenye maji mengi la hasha hata nimpate mwenye K Mnato still hali iko ivo ivo.

Hata nikiona na kujisugua niaje bado Shombo hunukia tu. Hapa nilipo jana nimepita mzigo mpaka leo hasubuhi nimekojoa mkojo wenye harufu kwa mbali ya K na mazingira ya uume ( mapaja, uume wenyewe, mapumbu nk kote kuna kaharufu fulani ka K.

B) Mapaja kuuma

Ndugu wadau, hili nalo ni tatizo lingine Aisee. Si jana nimepiga mzigo, basi mapaja yanauma balaa. Tumbo sehemu ya kitovu kunauma kwa mbali.

Si kwamba sipigi mazoezi, lahasha, mimi napiga jogging na Football kiasi.

Sasa najiuliza ni kawaida? Maana ni kweli K nitamu Tena sana lakini kwa hizi consequences, ni balaa.

Hapa najiuliza je nikijua kuoa si nitakuwa si chepuki kwa hali hii. Maana mke lazima ashitukie tuu endapo akinigundua.
We unakutana na majabulani.
 
Wengine sio wawazi tu ila inamsisimko fulani kwa baadhi ya wanaume,hujawahi kuona beberu linavyoashikia hadi kama liunywe mkojo wa mbuzi jike?Hata madume ya mbwa hujaa mtaani wakivutiwa na harufu ya K ya jike aliye kwenye joto,sio kitu cha kupinga wakuu.
Aisee hatari sana aisee😀

Wakaka humu, ni ya kweli haya??
 
sio MTU mzuri wewe, hata kidogo!!
Kuhusu kunuka K, nashauri wakati wa kuoga baada ya kumaliza tendo ukijisugua tumia Steel wire ili kumaliza harufu ya K.
Kuhusu kukojoa mkojo wenye harufu na rangi brown, inawezekana K unazokutana nazo zina Rust kwa ndani hivyo jitahidi kabla ya tendo uwe unazisugua na msasa ili kuondoa rust.

Na kuhusu mapaja kuuma na uchovu, Kijana fanya mazoezi. Hii inaonesha ni jinsi gani mwili wako ni mdhaifu na hufanyi mazoezi kiasi kwamba mapaja yako misuli imelegea na kushindwa kuumiliki mwili wako wenyewe tu.
Mazoezi ni muhimu kwa afya.
 
K huwa ina harufu yake nzuri sana wala hauwezi kuiita shombo, ila ukikutana na mwanamke mwenye multiple partines lazima kuwa na shombo, kama maji ya samaki. Ukiona hivo tumia condom.mazee
 
Back
Top Bottom