FAMILIA yako ina idadi ya watu wangapi.. Na je, unadhani unapaswa kuendelea kuwasaidia hata watu wazima ambao ilibidi uwape njia au uwatafutie NJIA za wao kujisadia wenyewe - ILI UPUNGUZE GHARAMA... Watengenezee njia za vipato hao wengine-ILI shid ikitokea, Mnasolve pamoja so hapo Mzigo...
Unajua XXL lazima ipate MAIN ambae atakuwa anacontroll vitu.. Mtu kama adam n mtu wakunogesha, kutia ladha ili kipindi kinoge.. Yeye akiwa Main ana haribu... Ona hata maswali aliyokuwa anamuuliza WAKAZI.. Ona hata muda waliotumia kupiga NGOMA za NIKKI ulikuwa n mwingi na baada ya NGOMA ndo...
YULE mzee hata Vijana wake huwa wanamuita DUDU LA YUYUUU..ningefurah saana RUGE angekuwa hai...Nadhan asinge thubutu ..Kwanza akiongeaga huwa hana madin...Tofaut na ILE ukisikia kesho RUGE ana interview attention iwepo...Lazima atatoa madini kadhaa...MZEE CHENGA.....Hata GOT TALENT alishindwa...
YULE mzee hata Vijana wake huwa wanamuita DUDU LA YUYUUU..ningefurah saana RUGE angekuwa hai...Nadhan asinge thubutu ..Kwanza akiongeaga huwa hana madin...Tofaut na ILE ukisikia kesho RUGE ana interview attention iwepo...Lazima atatoa madini kadhaa...MZEE CHENGA.....Hata GOT TALENT alishindwa...
Sisi Tukiongeaga wanasema ooh WANAJESH WAKOROFI..MARA nyie TEAM KIBA..
lakin ukwel n kwamba Jamaa n MPAMBANAJI LAKIN anafail kwa sasa...HATA watu wanaosemaga HARMONIZE ana MCOPY DIAMOND huwa Nawashangaaga., ..Nakaaga kimya tu kwakuwa ukiongea chochote - watu wanakutupia kwenye UTEAM...WAKAT sisi...
Nilitegemea nitaona VYUPA vya Ajajbu vya kikubwa... Una kula Vant then unasema... POMBE imekuloga??.. kwa mujibu wa wanywaji VANT kubwa zimesha anza chakachuliwa ni kama GONGO tu ndo maana zimekuwa adimu.. xaxa kijana una haki ya kutaka kuja DAR....
Sent using Jamii Forums mobile app
Display for COMPUTER.
19" size Wide
Clean and works Fine
Display Only
PRICE 85,000/
Serious Buyer CaLL 0682-030046.
Dar es Salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.