ROGERSHINE
Senior Member
- Aug 15, 2012
- 129
- 82
sijui
sijui
Naona unabisha mpaka ulichokiandika wewe,basi acha tuendelee kufanya assumptions,za majizo ukijumlisha za mamdogo unapata za MAJIZO.Hizo additional ni utashi wako, wewe ndio ungeniambia how majizo mwenye 40% share zusimfanye awe na majority share, Wewe si ndio ulikuwa amekomaa kuwa Mark na Majizo Hawana majority shares? Ndio nimekujibu Mark ana majority shares 24% na majizo ana majority shares 40%, hizo hesabu ulizoweka labda unataka kuonyesha uhodari wako wa kujumlisha hesabu za asilimia.
we ni fool aid
Akiwa ni bosi wa radio hizo mbili anachemshaje?
je nyimbo za diamond wanazo?
Kusaga ni owner wa radio zote na kuchanga sio kutafuta masifa.
Kuhusu wasafi muachie Kusaga coz both clouds na wasafi zinamuhusu.Kuna kitu kinaitwa Corporate Social Responsibility, ni nini, na faida zake ni zipi kwa kampuni husika inayofanya hiyo kitu.
Then jiulize, Diamond kuchangia kupitia Clouds, anaye win ni Clouds, vipi kuhusu Wasafi?
YULE mzee hata Vijana wake huwa wanamuita DUDU LA YUYUUU..ningefurah saana RUGE angekuwa hai...Nadhan asinge thubutu ..Kwanza akiongeaga huwa hana madin...Tofaut na ILE ukisikia kesho RUGE ana interview attention iwepo...Lazima atatoa madini kadhaa...MZEE CHENGA.....Hata GOT TALENT alishindwa kwenda kuizindua koz of MTUNGI na kuchelewa ndege...R.I.P RUGEHahaha, mtu unaweza kujiharibia siku bure kwa kuwashtukiza watu.
Diamond ni media owner kwa sasa, wewe kutangaza kupitia media nyingine na kutaka yeye achangie ili media hiyo ipate credit kwamba imewachangisha watu si kitu sahihi.
Yeye alitakiwa kuwapigia business partners wa Clouds, na kama anataka angeenda Wasafi kufanya utaratibu kama huo na kuwapigia watu anaoona ni business partners wa Wasafi.
YULE mzee hata Vijana wake huwa wanamuita DUDU LA YUYUUU..ningefurah saana RUGE angekuwa hai...Nadhan asinge thubutu ..Kwanza akiongeaga huwa hana madin...Tofaut na ILE ukisikia kesho RUGE ana interview attention iwepo...Lazima atatoa madini kadhaa...MZEE CHENGA.....Hata GOT TALENT alishindwa kwenda kuizindua koz of MTUNGI na kuchelewa ndege...R.I.P RUGEKusaga alikuwa live anawapigia simu watu na mashirika mbalimbali watoe michango yao kwa ajili ya mapambano ya corona, akampgia Diamond.
Diamond kakubali kuchangia ila kasema mchango wake utatajwa kesho. Kusaga kamwambia ataje wimbo wake ambao upigwe, akachagua sitobaki kama nilivyo wa joel luhagwa.
Akamsisitiza achague wa kwake, akajibu nina nyimbo nyingi nyie chagueni wowote mnaotaka.
Kusaga amsisitiza jamaa kagoma mwisho kasema au pigeni wimbo nilioshirikishwa.
Naona Mond hataki tena nyimbo zake zipigwe Mawingu.
Wamgomee halafu kazi wakafanye wapi?Huyu kusaga ana Bahati kakutana na hao akina Siza, Angewashitukiza Akina Mchomvu Wangemgomea
Kusaga ni Vyema Awaachie Vijana Waendeshe Kampuni hana analolijua, Vijana wa Pale mjengoni hawataki kumsikia Diamond na Diamond hataki Kuisikia Clouds, kusaga awaache kila mtu aendelee ni mishe zake Uwezo Wake ni Mdogo kwa kua ni Boss bas anataka Kuforce Vitu visivyowezekana, Ruge alimbeba sana huyu Kusaga
Kipindi kile alijipendekeza akawaamlisha vijana wapige Nyimbo za Diamond, Mameneja wake wakamshushua, Bado anangangania tu aache Upimbi na Kujipendekeza kwa Diamond,.
Hivi ruge naye kumbe alikuwa na nyimbo?Hata wasafi hawapigi nyimbo za Ruge
95% ya nyimbo za kwenye album ya Machozi ya Lady Jay Dee iliyotoka mwaka 2001 zilitungwa na Ruge, huenda hata hujawahi kusikia hiyo album
Naijua vizuri sema tu sikuwahi kusikiliza ruge akiimba95% ya nyimbo za kwenye album ya Machozi ya Lady Jay Dee iliyotoka mwaka 2001 zilitungwa na Ruge, huenda hata hujawahi kusikia hiyo album
Kuwa na wimbo sio lazima uimbe wewe. Unafahamu Nini kuhusu copy right Act? ©
Mkuu mbona unabisha facts so unakataa diamond hana hati miliki ya wasafiUkitaka kuimiliki kampuni, miliki majority shares, Hauwezi ukamtoa mtu mwenye share nyingi kwenye umiliki wa kampuni! ulijiuliza kwa nini serikali ilikomaa Mo asivuke 51% ya hisa simba? simply angevuka hiyo % timu yote ingekuwa mfukoni kwake.
We jamaa unabisha vitu vipo very open aiseeowner wa nini??owner wa kampuni ya wasafi media tafuta chapisho la gazeti la serikali wakati inaanzishwa utawaona majina yao wameorodheshwa pale
Aaah mkuu weka picha basiNyoko nina hela kuliko ukoo wenu mzima jinga kabisa
Ungejua nilichoandika usingejibu narudia tena we ni fool aidHaupo jikoni kaa kimya.