Interview ya Nikki Mbishi, Wakazi na P-Mawenge ni ishara kuwa XXL imepoteza dira

Nikki kamuuliza wakazi: mlifikia wapi kujua nani ananipenyezea taarifa zenu za kwenye group ma intelligensia wako?

Wakazi: nini?

Nikki: ma intellijensia wako walifikia wapi kujua kwamba nani alikua ananipenyezea taarifa? Au we kile ulichokua unakizungumza pia ulikua unakiona kipo sahihi?

Nikki wa pili alikuambia kuweni na mipaka, mwana fa naye aliwaambieni kua kuweni na mipaka, je mlikua mnaongea nini mle?

Wakazi anakakohoa alafu kacheka anaonekana anajing'atang'ata kutafuta cha kusema.

Nikki mbishi anamjia na swali lingine juu kwa juu kabla swali lake la mwanzo halijajibiwa.

Nikki: unataka ku prove nini kwa watu wakati zile meseji zako zinajieleza??

Nikki mbishi anaamua ku-shut down convo kwa kauli hii

Nikki: Acha unafki oya kata hiyo simu tuendelee na mambo yetu adamu. Saizi sijibu tena swali lingine. Bwana eeh nitaanza kupost tena zile upya watu waone.
Ila wote ni low minded people kwakuwa wanafaidisha hadhira isiyoonekana

Jr
 
Kipindi kiligeuka kuwa Cha kupiga kelele mchomvu anauliza swali Niki hajamaliza kujibu nae meena Ally anauliza Tena alafu pia maswali mengi waliokuwa wanauliza si ya msingi kipindi kilikosa leader kabisa pengo la bdozen limeonekana na wasipoangalia kipindi kitazidi kudorora.
Kweli kabisa mkuu
 
Baada ya Dozen kuhama Clouds FM, Leo XXL wamemfanyia mahojiano Nikki mbishi kuhusu bifu yake na Wakazi pamoja na kuhusu diss track ya P Mawenge, baada ya mahojiano wakawaunganisha live kupitia simu wakazi na p mawenge.

Kiukweli nikiri tu wazi kwamba interview nzima ilikuwa kituko, pengo la B Dozen limeonekana wazi wazi,ukiacha Mchomvu na Mina ally kuuliza maswali pasipo mpangilio, wazo la kuwakuwaunganisha live wasanii hao mahasimu sijalielewa. Je walitaka kuwapatanisha au Kuwagombanisha na kuchochea ugomvi zaidi? Maana mwisho wa siku hawajapatana wameishia kuzozana tu on air, ndiyo maana media zinalalamikiwa kusapoti bifu.

XXL mmefeli kabisa, mnaonesha wazi mmekosa dira baada ya kuondoka kwa Dozen.
mungu mkubwa; leo nimefurah sana!! Interview ya nikk mbish. "Kwanza wamempa heshma" kwa kupga ngoma zake kama 6 hv!! Alafu; adam akaanza kumpamba' kwanza (mnajua kwa nin! Almpamba) nikk" ni genious!! Katka kujiamin na kujib maswal!!! Baada ya hapo mengne yakaendelea.. 'ikiwemo kuwakutanisha ' mahafahal hawa watatu!((msichokijua!!!) kimeonekana leo!!! Nikk anawapenda sana washkaj zake wa tamadun!. Eg!" one / stereo/p- !! Thus y,
amechukulia poa? Dis track ya p'the mc....(long live bro unju/zohan/baba malcs/ >>>long live tamadun!. N.B: Njoon tena na collabo za kibabe>>kama> "amka mtanzania> tanzania day'' let'it be;
 
Baada ya Dozen kuhama Clouds FM, Leo XXL wamemfanyia mahojiano Nikki mbishi kuhusu bifu yake na Wakazi pamoja na kuhusu diss track ya P Mawenge, baada ya mahojiano wakawaunganisha live kupitia simu wakazi na p mawenge.

Kiukweli nikiri tu wazi kwamba interview nzima ilikuwa kituko, pengo la B Dozen limeonekana wazi wazi,ukiacha Mchomvu na Mina ally kuuliza maswali pasipo mpangilio, wazo la kuwakuwaunganisha live wasanii hao mahasimu sijalielewa. Je walitaka kuwapatanisha au Kuwagombanisha na kuchochea ugomvi zaidi? Maana mwisho wa siku hawajapatana wameishia kuzozana tu on air, ndiyo maana media zinalalamikiwa kusapoti bifu.

XXL mmefeli kabisa, mnaonesha wazi mmekosa dira baada ya kuondoka kwa Dozen.
Unajua XXL lazima ipate MAIN ambae atakuwa anacontroll vitu.. Mtu kama adam n mtu wakunogesha, kutia ladha ili kipindi kinoge.. Yeye akiwa Main ana haribu... Ona hata maswali aliyokuwa anamuuliza WAKAZI.. Ona hata muda waliotumia kupiga NGOMA za NIKKI ulikuwa n mwingi na baada ya NGOMA ndo wakaja wako live na simu.. Ina maana hwakujipanga kabla.. Muda uliotumika kupiga ngoma.. Ungetosha kabisa kumuuliza NIKKI MASWAL na Interview ingenoga.. Ndio mana yule jamaa wakuitwa LILY OMMY anawanyooshaga hapo tu... B 12 still n pengo pale na MCHOMVU hawez ziba koz hafit kuwa Main Presenter.. Ukitaka kutambua hilo we sikiliza tu SO SO FREESH anayo iendeshaga akiwa peke yake..
 
B12 kwani alikuwa nijino mpaka pengo lake lisizibike, clouds xxl itapaa juu zaidi, kwasababu, b12 alikuwa mzee wa chuki kwa wasanii.
 
Unajua XXL lazima ipate MAIN ambae atakuwa anacontroll vitu.. Mtu kama adam n mtu wakunogesha, kutia ladha ili kipindi kinoge.. Yeye akiwa Main ana haribu... Ona hata maswali aliyokuwa anamuuliza WAKAZI.. Ona hata muda waliotumia kupiga NGOMA za NIKKI ulikuwa n mwingi na baada ya NGOMA ndo wakaja wako live na simu.. Ina maana hwakujipanga kabla.. Muda uliotumika kupiga ngoma.. Ungetosha kabisa kumuuliza NIKKI MASWAL na Interview ingenoga.. Ndio mana yule jamaa wakuitwa LILY OMMY anawanyooshaga hapo tu... B 12 still n pengo pale na MCHOMVU hawez ziba koz hafit kuwa Main Presenter.. Ukitaka kutambua hilo we sikiliza tu SO SO FREESH anayo iendeshaga akiwa peke yake..
Anapwiyanga sana, ukatuni mwingi mno,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya Dozen kuhama Clouds FM, Leo XXL wamemfanyia mahojiano Nikki mbishi kuhusu bifu yake na Wakazi pamoja na kuhusu diss track ya P Mawenge, baada ya mahojiano wakawaunganisha live kupitia simu wakazi na p mawenge.

Kiukweli nikiri tu wazi kwamba interview nzima ilikuwa kituko, pengo la B Dozen limeonekana wazi wazi,ukiacha Mchomvu na Mina ally kuuliza maswali pasipo mpangilio, wazo la kuwakuwaunganisha live wasanii hao mahasimu sijalielewa. Je walitaka kuwapatanisha au Kuwagombanisha na kuchochea ugomvi zaidi? Maana mwisho wa siku hawajapatana wameishia kuzozana tu on air, ndiyo maana media zinalalamikiwa kusapoti bifu.

XXL mmefeli kabisa, mnaonesha wazi mmekosa dira baada ya kuondoka kwa Dozen.
Media zinapromote bifu
 
Hahaha nikki kwenye interview ni hatari anaweza ku face swali lolote na akalijibu logicaly nadhani hii pengine imesababishwa na uhodari wake wa freestyle

Kiukweli ukiangalia wakazi kaonesha chuki
Ukiacha freestyle jamaa yupo smart tu..confident halafu yupo real anasimamia anachokiamini..the real Hip hop artist yani.
 
Back
Top Bottom