Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,737
- 18,930
Vipi na neno Mjuba mkuu?'Mkulungwa' ni neno lenye asili ya Kimakonde likimaanisha 'Mkubwa' yaan mtu aliyekuzidi umri! Kwa wingi wake ndiyo huwa 'Wakulungwa'.
Neno hilo limechukuliwa kama lilivyo na kutumiwa na Waswahili kuita waliowazidi umri, hivyo ukiitwa mkulungwa haina tofauti sana na mkubwa uwe kaka/baba/mjomba etc!