Recent content by Akyoo Ze Great

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mhubiri afa maji baada ya kujaribu kutembea juu ya maji kama Yesu

    Mchungaji kutoka Nigeria, Frank Kabele (35) amesombwa na maji katika mto mmoja nchini hiyo na kufariki alipojaribu kutembea juu ya maji kama Yesu. Frank Kabele aliwaambia waumini wake kuwa mtu mwenye imani anaweza kufanya miujiza yeyote ila tu uwe na imani. Aliwaahidi wafuasi wake kuwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VII

    Simba ya mtungua Ruvu shutting 1-0 saf sana
  3. A

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Muziki wa Dansi nchini "Amigolas" Amefariki Dunia

    Mwanamuziki Mkongwe kutoka bendi ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta,pichani kulia enzi za uhai wake akiwa kazini,ajulikanae kwa jina la Amigolas amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo,katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar. Taarifa za awali ambazo chumba cha habari cha Globu ya Jamii...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Utata wa mimba

    Wengi husema mda ukienda iliushinde kufanya hesab ya siku aliyoipata coz hawajatulia.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya: Gari ya chuo kikuu Tumaini Iringa lapinduka na kuua wawili

    R.I.P Mungu ailaze roho pema pepon
  6. A

    JamiiForums Tanzania Dereva yebo anasana na mke wa mtu Songea

    Iyo ni nzuri
  7. A

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Ubungo Plaza kwenye Magazeti Leo

    Watu wengi hufanya vitu ili waonekane kuwa wanajua bila kujua kuwa wanajipalia makaaa.
  8. A

    JamiiForums Tanzania hey am new here using JF

    Hellow. Natambua uwepo wenu wakubwa kwa wadogo. Tuko pamoja nipokeeni kijana wenu tushirikishane mambo mbalimbali Niko teari Kuchangia na kuto mada humu ndan.
  9. A

    JamiiForums Tanzania laugh out loud loooooool

    Ni kisanga lazima waingie cha kiume
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Google inavyowatofautisha "wanafunzi wa chuo" na " University Students"

    Hakuna wa kulaumiwa kitabu ndo mpango mzima
Back
Top Bottom