nshawai kufanya nae. kwanini hakunambia mapema icho ndo kinanifanya niwe na mashaka.
umekumbuka nini? nishirikishe.....
Hiyo mimba kuna uwezekano mkubwa si yako. Kuna mwenzako mlo kuwa mna share naye sahani moja. Aliposhirikishwa hii kitu akaruka ndo wewe ukaja ambiwa after 5 months!!!! Hakuna kitu msichana hayuko tayari kama kubeba mimba bila kumshirikisha mwenzi wake. Sasa wewe unakuja ambiwa baada ya miezi mitano! Na siku zote anajua unapatikana wapi! Kuna kitu hakipo sawa hapo bro...
Wewe ndo umejenga hoja wengine wanatumia hisia, na kwa maelezo ya mtoa maada anasema walipanga kutokuwa na mtoto mapema akaenda kuchukua dawa famasi sasa iweje taarifa za mimba akazipate kwa rafiki wa nje na si kwa muhusika?kwa uelewa wangu..!
huyo dada aliwaweka wawil..!
ni ngumu sana uwe na mimba usimjuze mhusika no matter reaction wanawake huwa tuko hivo..! kama ni tofaut basi kuna shida mahal.!
what i can see kaona wewe unapangika ( yaan mwepesi kuelewa) , lazma kapeleka huo mzigo mahal katolewa balu, yawezekana kwel ni ya kwako ila alitaka kumpachikia mtu kachomoa ndo kaona airudishe kwa mwenyewe..!
kaen naye chin vzur utaprove haya
Kama kweli unafikiri ni yake kwa nini taarifa azipate kwa rafiki zake? na kwa nini wakat anaulizwa alikuwa mkali ili hali akijua mwenye mimba ndo huyo?kwanini hakumtuhumu toka mwanzo kama ana chepuka, kufikiri mimba si yako ni staili ya kukwepa majumu ya kulea ujauzito. Tatizo la kufanya vitu na kudhalau impact yake, unapo ingiza tu tambua matunda yake ni mimba hatakama ni sekunde moja.
Good reasoning, watu wanaona wanaongea kwa hisia na mazoea hapa kuna kitu kimejificha mwanamke asingeweza kufanya hivyo kama kweli mimba ni ya jamaa et akiogopa kuambiwa aitoe hakuna kitu kama icho, jamaa ake wajadiliane vizuriHiyo mimba kuna uwezekano mkubwa si yako. Kuna mwenzako mlo kuwa mna share naye sahani moja. Aliposhirikishwa hii kitu akaruka ndo wewe ukaja ambiwa after 5 months!!!! Hakuna kitu msichana hayuko tayari kama kubeba mimba bila kumshirikisha mwenzi wake. Sasa wewe unakuja ambiwa baada ya miezi mitano! Na siku zote anajua unapatikana wapi! Kuna kitu hakipo sawa hapo bro...
siri yangu bhana,its something awkward.
asantembuzi kwenye gunia mwenzie kakataa anakupa wewe
mteme haraka au subiri ajifungue mtoto hufanani nae kimbia haraka
mmh! asanteWengi husema mda ukienda iliushinde kufanya hesab ya siku aliyoipata coz hawajatulia.
ni kweli ila nahisi hujui how it pains mwisho wa siku unagundua si yako, kwanza rafiki zangu watanishangaa sana coz walikuwa wanajua relation yetu. asante lakinUnazinguwa mwanangu, kondom usitumie mimba ushangae, Nafikiri ni ujinga kuzani mimba ni ya mwanaume mwingine, wakati wewe pia mwanaume, ushauri wangu kwako, tembea kifua mbele cause we kidume cha mbegu sio cha kuliwa.
shukran, DNA nichukue mtoto akifikisha miezi mingapi?Uu! mpendwa hapa kuna utata mkubwa ww siuko dar subil ajifungue then mkapime DNA Mana nikama huyo bibiye nimuongo
poa, shukranHapo mkuu we kimbia tu maana unaunganishiwa tu
exactly, i wanted to say the samekwa uelewa wangu..!
huyo dada aliwaweka wawil..!
ni ngumu sana uwe na mimba usimjuze mhusika no matter reaction wanawake huwa tuko hivo..! kama ni tofaut basi kuna shida mahal.!
what i can see kaona wewe unapangika ( yaan mwepesi kuelewa) , lazma kapeleka huo mzigo mahal katolewa balu, yawezekana kwel ni ya kwako ila alitaka kumpachikia mtu kachomoa ndo kaona airudishe kwa mwenyewe..!
kaen naye chin vzur utaprove haya
shukran bro!Hiyo mimba kuna uwezekano mkubwa si yako. Kuna mwenzako mlo kuwa mna share naye sahani moja. Aliposhirikishwa hii kitu akaruka ndo wewe ukaja ambiwa after 5 months!!!! Hakuna kitu msichana hayuko tayari kama kubeba mimba bila kumshirikisha mwenzi wake. Sasa wewe unakuja ambiwa baada ya miezi mitano! Na siku zote anajua unapatikana wapi! Kuna kitu hakipo sawa hapo bro...