SIMBA ni timu pekee ambayo haijapoteza mchezo msimu huu. Simba oyeeee!
Hata Mtibwa hawajapoteza mkuu.
SIMBA ni timu pekee ambayo haijapoteza mchezo msimu huu. Simba oyeeee!
FULL TIME: Simba 1-0 Ruvu Shooting.
Hongera sana Phiri kwa kunusurika. Jipange usipewe mechi 2 tena.
Kwani mtibwa sio timuHapa nilipo kiti cha moto, bora mpira uishe.
Na mpira umekwishaaaaaa! Yeboyebo wamebana hadi wameachia.
Hatimaye Kipofu kaona mwezi, hongera sana wanasimba wote. Asante Makoye Matale na Iron Lady Bantu lady kwa update zenu.
hatimae tumeanza ligi sasa!:flypig:
Kwani mtibwa sio timu
Pamoja sana Mkuu.
Hatimaye Kipofu kaona mwezi, hongera sana wanasimba wote. Asante Makoye Matale na Iron Lady Bantu lady kwa update zenu.