Recent content by AKILI TATU

 1. AKILI TATU

  Jinsi baadhi ya Media zinavyokuza tabia zisizofaa

  Mzee baba unaonyesha wewe mtaalamu Sana kwenye eneo hilo...so mabamsa wote ni magasho!?
 2. AKILI TATU

  Ijue sayansi ya upara na uwezekano mkubwa wa kuutibu kwake

  Sawa..dawa ya kienyeji ni mboji la ng'ombe au mtoto mchanga
 3. AKILI TATU

  Utajiri wa Diamond Platnumz...

  duh..umemaliza yani au sio?
 4. AKILI TATU

  Awamu ya pili ya mkopo wa HESLB ilitakiwa kutolewa leo tarehe 21 Oktoba?

  Jana mbona hawakutoa kitu...au niko out of date jameni? hata kwenye link ya news zao hakuna pale
 5. AKILI TATU

  Hali tete Simba: Mo apaniki tena, aushinikiza uongozi uchukue hatua kwa mechi ya leo

  Aisee umuache Kagere alafu ubaki na Mugalu ambaye kwenye nafasi kumi afungi hata moja ..sasa hiyo itakuwa akili au matope?
 6. AKILI TATU

  Samsung Galaxy S21 Ultra ni habari nyingine

  Maisha ya ujana haya....siinagi umuhinu wa simu mpya while kama uliyonayo unafanya Kazi
 7. AKILI TATU

  Mightier nikiwa nasema kuwa Yanga SC Kumeshavurugika, kuna Fukuto na Uadui wa chini chini kwa Watendaji muwe mnanielewa tafadhali

  Mzee baba unechamba..tena umechanja na mchanga au migomba..Kwa taarifa yako tu unaweza ukawa sahihi kwenye mengine ila sio kuhusu Manara eti kasusa kuipromot mechi ya leo..game ya leo haina Mwenyeji..hakuna timu itakayopata mapato...hata thumni..ni mechi ya kijamii..iko chini ya TFF so mwenye...
 8. AKILI TATU

  Upotoshaji kuhusu mizimu

  MUNGU AKUPE REHEMA YA KUJUA KWELI, By the way hata yao wazungu nao hufa..so nao pia wanakuwa mizimu sio!? So nao wanawaabudu Kama unavyotuambia hapa kuhusu africans tuitunze mizimu!? Mzee..kilichokufa kimekufa..ni sawa na mwembe uliokauka..usitarajie mwembe yataota juu yake.
Top Bottom