Kusoma alama za nyakati ni kuzuri sana, UDART ilikuwa inahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa kwenye masuala ya uwekezaji, uendeshaji na uongozi na sifa hizo zote kindamba anazo.
Waziri kindamba akiwa Mkurugenzi mkuu wa TTCL alisaidia kulipa matumaini shirika na zaidi aliinga TTCL akitokea kwenye taasisi za benki hivyo ana uwezo mzuri katika kukuza mitaji na uwekezaji.
Naamini atasaidia vya kutosha kuwezesha mamlaka kusonga mbele Kwa kuongeza uwekezaji na kusimamia uendeshaji Kwa faida zaidi.
Uteuzi bora na wa kupongezwa